Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Oh nimeona mkuu na nimecomment.Mtaji: Nipeni mkono niinue (Biashara ya matunda)
Habari Mosi, mimi ni Graduate niliyehitimu mwaka 2019, ninaishi hapa jijini DSM, Kimsingi sina ajira wala chanzo rasmi cha kipato, nilikuwa naishi kwa Daywalker za kufanya kazi za ku type stationary moja napata Commission 1000-2000 kwasasa Stationary imekufa. Katika kupambana kutafuta ajira...www.jamiiforums.com
Aah nimeona ila humu uzi zinaenda kwa trend
Ukiwa na nia na shida kweli, mbona unazitafuta tu hizo nyuzi.aah nimeona ila humu uzi zinaenda kwa Trend
Mkuu, kuna wakati ugaidi unapaswa kutumika katika kupambana na magaidi wenyewe. Dawa ya ubaya ni ubaya zaidi mkuu.Usilipe ubaya ubaya kwa ubaya mkuu, msave mwanae ajisikie aibu yeye, mtoto ana makosa, uenda nakosa connection kwa sababu ya mzee nini![]()
Nakuunga mkono.Mkuu, kuna wakati ugaidi unapaswa kutumika katika kupambana na magaidi wenyewe. Dawa ya ubaya ni ubaya zaidi mkuu.
Nikim-save mwanaye yeye atajisikia fahari kuwa mwanaye ana pesa sasa. Kwanini ajisikie aibu?msave mwanae ajisikie aibu yeye
Adui yako muombee njaaUsilipe ubaya ubaya kwa ubaya mkuu
Duh pole sana, natamani ningekuwa na uwezo huo nikusaidie ila kwa sasa sina.
Ila naamini kuna watu humu wanaweza kukusaidia na natamani ungewaface direct.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habu jaribu kuangalia..kuna watu ukiwaona unaona kabisa huyu anaweza kunisaidia..jaribu kuwaangalia halafu watafute usiogope.ingekuwa vyema hata ungeniunganisha nao tu![]()
We acha tu maana kashare mpaka namba ya simu_Hili ndio tatizo la kuwa na shida yaani unakuwa huna Privacy, cheki jamaa eti nakujua.
Umesikia humu kaja ili umjue ukikaa kimya utapungukiwa nn au utaonekana sio msomi acha utoto wa kishambaPole sana real nakufahamu sana tulimaliza pale NIT Mungu atakujalia
Acha kukoroma, situation naijua yuko real anavyoongeaUmesikia humu kaja ili umjue ukikaa kimya utapungukiwa nn au utaonekana sio msomi acha utoto wa kishamba