Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,822
Unaweza ukanisaidia mimi lakini mimi nikaja kumsaidia mtoto wako baadae.
Unaweza ukanisaidia mimi lakini mimi nikaja kumsaidia mtoto wako baadae.
It doesn't work like that. Mtu anatakiwa ajue umuhim wako kwa wakati huo, siyo ahadi ya baadaeUnaweza ukanisaidia mimi lakini mimi nikaja kumsaidia mtoto wako baadae.
. Sio watu wote wapo hivyo inategemea na roho ya mhusika.It doesn't work like that. Mtu anatakiwa ajue umuhim wako kwa wakati huo, siyo ahadi ya baadae.
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Hili ndio tatizo la kuwa na shida yaani unakuwa huna Privacy, cheki jamaa eti nakujua.Pole sana real nakufahamu sana tulimaliza pale NIT Mungu atakujalia
Kuna mmoja alikuwa hapokei simu zangu nilipomaliza chuo mwaka 2009 alikuwa anafanya kazi kampuni ya mawasiliano, ila mwaka 2018 nikiwa ninafanya kazi Dodoma akawa ananitafuta kunipa CV ya mtoto wa kaka yake. Na mimi niliichukua ile CV nikaiweka kabatini kwangu mpaka leo sijampa connection yoyote ile.
It doesn't work like that. Mtu anatakiwa ajue umuhim wako kwa wakati huo, siyo ahadi ya baadae.
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Hili ndio tatizo la kuwa na shida yaani unakuwa huna Privacy, cheki jamaa eti nakujua.
Pole mkuu.
Hopefully kuna walioguswa wamekutafuta.
Nakuombea ufanikiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala usiogope, maana haitakusaidia ku solve chochote. Just relaxAhsante kwa kunitia nguvu kaka, kuna muda unaomba sana Mungu, unakuwa mtu loyal kabisa na unapambana ila hii ya kushindwa hata kuafford foos for my self it very difficult to feel as normal issue, unaweza kuwaza hata kujiua maana unalaza buti aaah wapi yaani maisha haya jamani acheni tu
Kuwa na privacy haina maana kuwa haupo clean au una ubaya na mtu. Nisi explain sana nimekupata.It doesnt matter mkuu, amenijua kwa sababu ya hii Id tu ndio uwa natumia kwenye group whatsapp n.k ila isingekuwa hivi asingenijua kamwe, na pia sina tatizo wala ubaya na mtu am clean ndio maana sioni kama kuna tabu
Ubarikiwe sana.Amen
Duh pole sana, natamani ningekuwa na uwezo huo nikusaidie ila kwa sasa sina.Bado mkuu, kuna mmoja amesema hadi nipate hela at least laki 6 ndio atanipa msaada, ila hivi hivi imeshindikana, kama utakuwa na msaada wowote kwangu naomba usisite kunisave
Basi kanisaidie mimi kule, nadata sasaDuh pole sana, natamani ningekuwa na uwezo huo nikusaidie ila kwa sasa sina.
Ila naamini kuna watu humu wanaweza kukusaidia na natamani ungewaface direct.
Sent using Jamii Forums mobile app