Ushirikina?!!! Uchawi nnaotumia mimi ni huu hapa chiniUshirikina je? mkuu
Mkuu, mungu awe nawe, MUNGU akukutanishe na watu salama kwa pa1 mtatue changamoto hiyo. Mtafte mtu sahihi mwelezi ukweli physically na mfanye bargaining ya hiyo issue. Humu jf n 50/50
Nje kidogo na maada. Mkuu humu jf kuna watu wazr na ambao ni kinyume, kuna wenye uwezo wa kukusaidia hawaoni haja ya kukusaidia coz wao mambo ni sawa. Kuna ambao hatuna chochote ila maneno ya kufariji tu na kukupa nguvu.
Kila la kheri kaka
Ushirikina?!!! Uchawi nnaotumia mimi ni huu hapa chini
View attachment 1710435
Namaanisha watu wengine hawawezi kukupa changamoto hioUshirikina?!!! Uchawi nnaotumia mimi ni huu hapa chini
View attachment 1710435
Hakuna kitu mkuu, ushirikina pekee ni kilimo bora.namaanisha watu wengine hawawezi kukupa changamoto hio
maana tunasikia hizi habari za hapa na pale
Hahahaaaaa umenichekesha sana mkuuI wish ungejua siri, haya maneno ya sijui. Mali utaipata shambani ni usanii na uzandiki mtupu wa motivation speakers.
Usilazimishe connections na watu. Kuwa kama mimiNatamani nitengeneze connection kwa uaminifu nataka ukinidhamini unitangaze vizuri ili niaminike
Usimpumbaze awe kama wewe, Wewe una Gari yeye ana njaa gawa hiyo gari yako usiwe na pesa ya kula tuone kama utendelea kuwa kama wewe.Usilazimishe connections na watu. Kuwa kama mimi
Kama unatengeneza connections na watu alafu unawapigia simu hawapokei, SMS hawajibu na ukituma message whatsapp ile bluetick inakaa siku saba, utasema huyo mtu anataka kujenga connection na wewe?Usimpumbaze awe kama wewe, Wewe una Gari yeye ana njaa gawa hiyo gari yako usiwe na pesa ya kula tuone kama utendelea kuwa kama wewe.
Sio kila nyakati Ego itumike ukiendekeza Ego utakufa unajiona.
Soma post number 58wewe ukoje mkuu!?
Ukiona hvo ujue hao unaowaita connection hauwafai. Connection inatakiwa iwe both ways, iwafae both parties, tofauti na hapo utakuwa unataka msaada tu, na dunia ya sasa watu wanasaidia maskini wale wasiojiweza kabisa.Kama unatengeneza connections na watu alafu unawapigia simu hawapokei, SMS hawajibu na ukituma message whatsapp ile bluetick inakaa siku saba, utasema huyo mtu anataka kujenga connection na wewe?
Yamenikuta sana hayo ndio maana nimemshauri asilazimishe connections na watu. Atafute pesa lakini asidhalilishe utu wake.
Kama unatengeneza connections na watu alafu unawapigia simu hawapokei, SMS hawajibu na ukituma message whatsapp ile bluetick inakaa siku saba, utasema huyo mtu anataka kujenga connection na wewe?
Yamenikuta sana hayo ndio maana nimemshauri asilazimishe connections na watu. Atafute pesa lakini asidhalilishe utu wake.
Kuna mmoja alikuwa hapokei simu zangu nilipomaliza chuo mwaka 2009 alikuwa anafanya kazi kampuni ya mawasiliano, ila mwaka 2018 nikiwa ninafanya kazi Dodoma akawa ananitafuta kunipa CV ya mtoto wa kaka yake. Na mimi niliichukua ile CV nikaiweka kabatini kwangu mpaka leo sijampa connection yoyote ile.Ukiona hvo ujue hao unaowaita connection hauwafai. Connection inatakiwa iwe both ways, iwafae both parties, tofauti na hapo utakuwa unataka msaada tu, na dunia ya sasa watu wanasaidia maskini wale wasiojiweza kabisa.
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Hahhaaaa, ndiyo maana ya connection.Kuna mmoja alikuwa hapokei simu zangu nilipomaliza chuo mwaka 2009 alikuwa anafanya kazi kampuni ya mawasiliano, ila mwaka 2018 nikiwa ninafanya kazi Dodoma akawa ananitafuta kunipa CV ya mtoto wa kaka yake. Na mimi niliichukua ile CV nikaiweka kabatini kwangu mpaka leo sijampa connection yoyote ile.