Mnyatiaji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 3,768
- 4,877
Duniani unaishi kwa tabu afu na mbingu unaikosa yani shida juu ya shidaNdugu yangu kwa kifupi tu Ni kwamba watu wengi hawawezi kufunguka ila kiukweli wengi wanatamani wajifie tu, maana sio kwa shida hizi za dunia!!!
Km kweli Yesu nae atarudi bora angerudi Ili tujue moja kuliko kutuweka roho juu juu tu,
Mbaya zaid kuna wengine duniani wanapigika na bado Mbinguni au peponi hawaingii,Ndo ujue kwamba mwanadam anakabiliw na shida kila kona