Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,305
We fala, hakikisha unakufa wakati watoto wako wameolewa na wana watoto.Hata nashindwa nianzie wapi! kila nachojaribu naishia kuharibu,madeni kila kona. Linaisha hili linaibuka hili,huku watoto wagonjwa, kule mwenye nyumba hataki maelezo anadai pesa yake. Sehemu yangu ya kazi nayo wameuziwa wawekezaji wa kichina. Kwa kifupi sana nahitaji kufa.0693074779 Nipo lwamgasa geita
Kumbuka ukifa huyo mrembo ataliwa na wengine...komaaa baba, hizo sio shida wala vikwazo ni changamoto ndogo sana.
Ikiwa vipi niletee mwanao mmoja nimlee mimi sitajali lakini awe wa kike;
1. Mtoto wa kike akiwa yatima huteswa sana
Na dunia
2. Sipendi kuona matatizo yanakuwa sababu
ya mtoto wa kike kuteseka.
Bro una nafasi ya kufanya vyema, piga kifua sema "Nitashinda"