Nimekata tamaa ya kuendelea kuishi

Nimekata tamaa ya kuendelea kuishi

Hata nashindwa nianzie wapi! kila nachojaribu naishia kuharibu,madeni kila kona. Linaisha hili linaibuka hili,huku watoto wagonjwa, kule mwenye nyumba hataki maelezo anadai pesa yake. Sehemu yangu ya kazi nayo wameuziwa wawekezaji wa kichina. Kwa kifupi sana nahitaji kufa.
huwezi kufa kirahisi hivyo mzee, halafu watoto wako utamwachia nani awalee? kumbuka kwamba, maisha ni zawadi Mungu anatoa, angeliweza kuwapa zawadi hiyo watu wengi sana ambao wameshafuka lakini akakupa wewe unaishi hadi leo. Mungu anakuona na anajua maisha yako yoooote. na anajua future yako.

kwenye maisha ukiona umefikia hatua kama ya kwako, hapo ndipo unamhitaji Mungu kuliko wakati wowowte ule. amini usiamini, sasaivi ninavyoongea nipo hotel nzuri nimesafiri kibiashara, lakini nilikotoka bora hata wewe una maisha mazuri.

Ukiona umefikia hatua ya maisha magumu na huoni njia, hapo Mungu huwa anakuwa karibu sanaaa, sana sana, ukimwomba anakuitikia ,kwasababu gani? ni kwasababu breakthrough utakayoipata atakayetukuzwa ni Mungu moja kwa moja na sio vitu vingine. ukipata breakthrough ukiwa na pesa kadhaa, ndugu kadhaa wanaokusaidia au kitu chochote, utasema nimefanikiwa kwasababu ya huyu au yule au kile, ila ukipata mafanikio kama muujiza hakuna atakayejidai alikusaidia ila Mungu, utukufu wote utaenda kwa Mungu ndio maana wakati kama wa kwako ni wakati muhimu sana, huoni njia, njia yako ni kwa Mungu tu, huoni wa kumlilia, wa kumlilia ni Mungu tu. hiyo ni opportunity kubwa itumie, wakati wako wa kufanikiwa umefika kama ukiitumia.

pili, Mungu amekupa zawadi ya uhai, ukiutoa/ukijiua utaenda kukutana naye, atakuhukumu na utaungua moto wa jehanum milele na milele. usifanye hivyo, kwasababu utakakoelekea ni kubaya na there is no turning back, hakunaga kule kudanganyana kwamba ukifa wenzako huku duniani watakuwa wanakuombea Mungu atakusamehe hukohuko, uongo. Baada ya kifo ni hukumu hakuna kutubu, kumbuka pia story ya yule Tajiri na masikini (sijajua dini yako)....

Mungu huwa anasikia, alisikia kwangu. ila anasikia tu kwa njia ya Yesu Kristo. Ukimkiri Yesu Kwa kinywa chako na kuamini kuwa Mungu alimfufua kwa wafu utaokoka. nenda chumbani au tafuta msaidizi wa kiroho mkiri Yesu, okoka. Mungu atajua. hili nikuambialo linaweza kuwa gumu kwako pengine, lakini jaribu, kama vile watu wanavyojaribu kwa waganga wa kienyeji na kwengine kutafuta solutions, wee pia hat akama hauamini kwa imani yako jaribu kufanya hivi nilivyokwambia ili uone inakuwaje. akili yako itaona na kupambanua kitakachofuata.

miaka kama 13 iliyopita, mara tu baada ya kuoa, niliishi maisha magumu kiasi kwamba nilikuwa natembea kwa mguu toka ubongo hadi posta na kurudi, kuna siku zingien nilikuwa na shilingi mia tano tu mfukoni siku zingine mia 200 kuna siku mimi na mke wangu tulilalia kipande kimoja cha mhogo, niliamua kumpa wife ale kwasababu mimi ni mwanaume alikataa tukamegana, ilifika kipindi sioni njia yoyote ile, kile anayekuona anakucheka badala ya kukusaidia, hakuna msaada wowote hata kwa wale uliowasaidia. tukabaki na Mungu tu. hapo ndipo nilipojifunza kusali na kuomba kwasababu hapakuwa na solution nyingine, hapakuwa na pengine pa kugeukia ila kwa Mungu tu, tulizunguka makanisa mengi mengine walitudanganya mengine ni ya kweli hadi tukasettle, tulifunga na kuomba mara nyingi sana, na Mungu akatuonekania, tumefanikiwa,wale waliotucheka wanaomba msaada kwetu, waliokuwa wanaona hatuna heshima sashaivi wanasimama kwenye kiti tukifika ili tu wapate bahati ya kutusalimia.

huyu Mungu huyu, anao uwezo kubadilisha bendera wakati wowote, God is able, he is able to change your situation within a minute utashangaa. wakati mrefu tuliishi hatuna kazi na sote tumesoma, ila kuna siku mambo yalibadilika tukapata cha kufanya na tuna maisha mazuri na watoto wazuri na wanasoma na kuishi vizuri. utukufu tunampa Mungu.

huu ushauri niliokupa umetoka kwenye kilindi cha moyo wangu, ni wa kweli, ukiufanyia kazi utakusaidia, usipoufanyia kazi nimenawa mikono.
 
Tuma namba nikurushie 500,000/= chap
 
Pole sana Mwenyez Mungu akufanyie wepesi InshaAllah nachokushaur sio mbaya ukarudisha familia nyumbani huku wewe ukianza maisha mapya usichague kazi kwani Mwenyez Mungu huweka riziki yako popote hivyo ni bora kuwa Na subira.
 
Ndugu Pambana na muombe Mungu sana akuondolee hiyo miluzi ya shetani kichwani mwako.

Hakuna mafanikio yasiyokua na story kadhaa za magumu. Kila mtu anayapitia magumu pengine zaidi ya unayoyapitia. Usifikirie kwanza kujiua bali fikiria ni njia gani mpya uitumie kutoka kwenye shida uliyopo. Jipe muda wa kutulia na kupanga upya. Angalia mbele kwenye ushindi wako.
 
huwezi kufa kirahisi hivyo mzee, halafu watoto wako utamwachia nani awalee? kumbuka kwamba, maisha ni zawadi Mungu anatoa, angeliweza kuwapa zawadi hiyo watu wengi sana ambao wameshafuka lakini akakupa wewe unaishi hadi leo. Mungu anakuona na anajua maisha yako yoooote. na anajua future yako.

kwenye maisha ukiona umefikia hatua kama ya kwako, hapo ndipo unamhitaji Mungu kuliko wakati wowowte ule. amini usiamini, sasaivi ninavyoongea nipo hotel nzuri nimesafiri kibiashara, lakini nilikotoka bora hata wewe una maisha mazuri.

Ukiona umefikia hatua ya maisha magumu na huoni njia, hapo Mungu huwa anakuwa karibu sanaaa, sana sana, ukimwomba anakuitikia ,kwasababu gani? ni kwasababu breakthrough utakayoipata atakayetukuzwa ni Mungu moja kwa moja na sio vitu vingine. ukipata breakthrough ukiwa na pesa kadhaa, ndugu kadhaa wanaokusaidia au kitu chochote, utasema nimefanikiwa kwasababu ya huyu au yule au kile, ila ukipata mafanikio kama muujiza hakuna atakayejidai alikusaidia ila Mungu, utukufu wote utaenda kwa Mungu ndio maana wakati kama wa kwako ni wakati muhimu sana, huoni njia, njia yako ni kwa Mungu tu, huoni wa kumlilia, wa kumlilia ni Mungu tu. hiyo ni opportunity kubwa itumie, wakati wako wa kufanikiwa umefika kama ukiitumia.

pili, Mungu amekupa zawadi ya uhai, ukiutoa/ukijiua utaenda kukutana naye, atakuhukumu na utaungua moto wa jehanum milele na milele. usifanye hivyo, kwasababu utakakoelekea ni kubaya na there is no turning back, hakunaga kule kudanganyana kwamba ukifa wenzako huku duniani watakuwa wanakuombea Mungu atakusamehe hukohuko, uongo. Baada ya kifo ni hukumu hakuna kutubu, kumbuka pia story ya yule Tajiri na masikini (sijajua dini yako)....

Mungu huwa anasikia, alisikia kwangu. ila anasikia tu kwa njia ya Yesu Kristo. Ukimkiri Yesu Kwa kinywa chako na kuamini kuwa Mungu alimfufua kwa wafu utaokoka. nenda chumbani au tafuta msaidizi wa kiroho mkiri Yesu, okoka. Mungu atajua. hili nikuambialo linaweza kuwa gumu kwako pengine, lakini jaribu, kama vile watu wanavyojaribu kwa waganga wa kienyeji na kwengine kutafuta solutions, wee pia hat akama hauamini kwa imani yako jaribu kufanya hivi nilivyokwambia ili uone inakuwaje. akili yako itaona na kupambanua kitakachofuata.

miaka kama 13 iliyopita, mara tu baada ya kuoa, niliishi maisha magumu kiasi kwamba nilikuwa natembea kwa mguu toka ubongo hadi posta na kurudi, kuna siku zingien nilikuwa na shilingi mia tano tu mfukoni siku zingine mia 200 kuna siku mimi na mke wangu tulilalia kipande kimoja cha mhogo, niliamua kumpa wife ale kwasababu mimi ni mwanaume alikataa tukamegana, ilifika kipindi sioni njia yoyote ile, kile anayekuona anakucheka badala ya kukusaidia, hakuna msaada wowote hata kwa wale uliowasaidia. tukabaki na Mungu tu. hapo ndipo nilipojifunza kusali na kuomba kwasababu hapakuwa na solution nyingine, hapakuwa na pengine pa kugeukia ila kwa Mungu tu, tulizunguka makanisa mengi mengine walitudanganya mengine ni ya kweli hadi tukasettle, tulifunga na kuomba mara nyingi sana, na Mungu akatuonekania, tumefanikiwa,wale waliotucheka wanaomba msaada kwetu, waliokuwa wanaona hatuna heshima sashaivi wanasimama kwenye kiti tukifika ili tu wapate bahati ya kutusalimia.

huyu Mungu huyu, anao uwezo kubadilisha bendera wakati wowote, God is able, he is able to change your situation within a minute utashangaa. wakati mrefu tuliishi hatuna kazi na sote tumesoma, ila kuna siku mambo yalibadilika tukapata cha kufanya na tuna maisha mazuri na watoto wazuri na wanasoma na kuishi vizuri. utukufu tunampa Mungu.

huu ushauri niliokupa umetoka kwenye kilindi cha moyo wangu, ni wa kweli, ukiufanyia kazi utakusaidia, usipoufanyia kazi nimenawa mikono.
Chukua huu ushauri mkuu; na wa wengine wanaokutia moyo. Usione hivi tunacheka hapa, kiuhalisia kila mmoja anapambana na changamoto nyingi tu - za kiafya, za kiuchumi, za kiroho, za kifamilia na nyingine kibao. Cha muhimu ni kutokata tamaa na kumtegemea Mungu. Kujiua huku una watoto ni ubinafsi uliopindukia kimo. Achana na hilo wazo kabisa tena life kwa Jina la Yesu. Hutakufa bali utaishi na siku moja utashuhudia utukufu wa Mungu [emoji1545]
 
20211101_221245.jpg

Leo nimetumiwa ujumbe na huyu binti. Pepole are going through tough times mkuu. Usikate tamaa. Persevere through all hardships mkuu.

Unaweza ukata tamaa lakini kuna mtu ambaye yupo kwenye tight spot zaidi yako na hajakata tamaa.

I wish you all the best.
 
Hata nashindwa nianzie wapi! kila nachojaribu naishia kuharibu,madeni kila kona. Linaisha hili linaibuka hili,huku watoto wagonjwa, kule mwenye nyumba hataki maelezo anadai pesa yake. Sehemu yangu ya kazi nayo wameuziwa wawekezaji wa kichina. Kwa kifupi sana nahitaji kufa.
Mwanaume hakati tamaa hata siku moja mwanaume anapambna kwa ajili ya familia yake hata mambo yamekua magumu kiasi gani una kaza hiyo ndo roho ya kiume hata kama unadharaulika , ndio maana ukaaita
 
Acha utani wewe.
Nikupe tiba kidogo.. ukiona unajiskia huna hamu ya kuishi ziwia pumzi yako kwa dakika moja tu yaani usivute wala kutoa hewa nje. Mwenyewe utangundua jinsi unavyohitaji uhai wako.
 
huwezi kufa kirahisi hivyo mzee, halafu watoto wako utamwachia nani awalee? kumbuka kwamba, maisha ni zawadi Mungu anatoa, angeliweza kuwapa zawadi hiyo watu wengi sana ambao wameshafuka lakini akakupa wewe unaishi hadi leo. Mungu anakuona na anajua maisha yako yoooote. na anajua future yako.

kwenye maisha ukiona umefikia hatua kama ya kwako, hapo ndipo unamhitaji Mungu kuliko wakati wowowte ule. amini usiamini, sasaivi ninavyoongea nipo hotel nzuri nimesafiri kibiashara, lakini nilikotoka bora hata wewe una maisha mazuri.

Ukiona umefikia hatua ya maisha magumu na huoni njia, hapo Mungu huwa anakuwa karibu sanaaa, sana sana, ukimwomba anakuitikia ,kwasababu gani? ni kwasababu breakthrough utakayoipata atakayetukuzwa ni Mungu moja kwa moja na sio vitu vingine. ukipata breakthrough ukiwa na pesa kadhaa, ndugu kadhaa wanaokusaidia au kitu chochote, utasema nimefanikiwa kwasababu ya huyu au yule au kile, ila ukipata mafanikio kama muujiza hakuna atakayejidai alikusaidia ila Mungu, utukufu wote utaenda kwa Mungu ndio maana wakati kama wa kwako ni wakati muhimu sana, huoni njia, njia yako ni kwa Mungu tu, huoni wa kumlilia, wa kumlilia ni Mungu tu. hiyo ni opportunity kubwa itumie, wakati wako wa kufanikiwa umefika kama ukiitumia.

pili, Mungu amekupa zawadi ya uhai, ukiutoa/ukijiua utaenda kukutana naye, atakuhukumu na utaungua moto wa jehanum milele na milele. usifanye hivyo, kwasababu utakakoelekea ni kubaya na there is no turning back, hakunaga kule kudanganyana kwamba ukifa wenzako huku duniani watakuwa wanakuombea Mungu atakusamehe hukohuko, uongo. Baada ya kifo ni hukumu hakuna kutubu, kumbuka pia story ya yule Tajiri na masikini (sijajua dini yako)....

Mungu huwa anasikia, alisikia kwangu. ila anasikia tu kwa njia ya Yesu Kristo. Ukimkiri Yesu Kwa kinywa chako na kuamini kuwa Mungu alimfufua kwa wafu utaokoka. nenda chumbani au tafuta msaidizi wa kiroho mkiri Yesu, okoka. Mungu atajua. hili nikuambialo linaweza kuwa gumu kwako pengine, lakini jaribu, kama vile watu wanavyojaribu kwa waganga wa kienyeji na kwengine kutafuta solutions, wee pia hat akama hauamini kwa imani yako jaribu kufanya hivi nilivyokwambia ili uone inakuwaje. akili yako itaona na kupambanua kitakachofuata.

miaka kama 13 iliyopita, mara tu baada ya kuoa, niliishi maisha magumu kiasi kwamba nilikuwa natembea kwa mguu toka ubongo hadi posta na kurudi, kuna siku zingien nilikuwa na shilingi mia tano tu mfukoni siku zingine mia 200 kuna siku mimi na mke wangu tulilalia kipande kimoja cha mhogo, niliamua kumpa wife ale kwasababu mimi ni mwanaume alikataa tukamegana, ilifika kipindi sioni njia yoyote ile, kile anayekuona anakucheka badala ya kukusaidia, hakuna msaada wowote hata kwa wale uliowasaidia. tukabaki na Mungu tu. hapo ndipo nilipojifunza kusali na kuomba kwasababu hapakuwa na solution nyingine, hapakuwa na pengine pa kugeukia ila kwa Mungu tu, tulizunguka makanisa mengi mengine walitudanganya mengine ni ya kweli hadi tukasettle, tulifunga na kuomba mara nyingi sana, na Mungu akatuonekania, tumefanikiwa,wale waliotucheka wanaomba msaada kwetu, waliokuwa wanaona hatuna heshima sashaivi wanasimama kwenye kiti tukifika ili tu wapate bahati ya kutusalimia.

huyu Mungu huyu, anao uwezo kubadilisha bendera wakati wowote, God is able, he is able to change your situation within a minute utashangaa. wakati mrefu tuliishi hatuna kazi na sote tumesoma, ila kuna siku mambo yalibadilika tukapata cha kufanya na tuna maisha mazuri na watoto wazuri na wanasoma na kuishi vizuri. utukufu tunampa Mungu.

huu ushauri niliokupa umetoka kwenye kilindi cha moyo wangu, ni wa kweli, ukiufanyia kazi utakusaidia, usipoufanyia kazi nimenawa mikono.
Amen mkuu, Mungu ana njia nyingi za kum bless mwanadamu yani na wakati wa kufanya hivyo hamna mtu anayejua wala mwenye miadi nae!
 
Pole mkuu ila nakushauri usiwaze hicho unachokiwaza,Kusema "nataka nife" ni jambo moja na "kukikabili kifo" ni habari nyingine kabisa...Acha na habari ya kifo mzee,huko sio kuzuri sana kama umeondoka duniani vibaya.
Unachotakiwa ukifanye jaribu sana kuomba Mungu akuondoshee hyo mitihani lakini pia huenda kwa mitihani hyo unayopitia Mungu anataka akufungulie neema,Hicho unachopitia ni kipindi cha mpito tu na kiza kinene na hapo kunakaribia kucha,Vumilia na pia tambua kuna mwenzio ana ana magumu kuliko yako.
Kuwashirikisha watu kwenye shida zako ndyo nafuu kwako usikae na majambo kifuani always huwa yanatafuta upenyo yalipuke...kuwa na roho ya kiume bro shida anazo kila mtu.
Kikubwa kinachokutesa wewe ni madeni,madeni kila mtu anadaiwa mkuu sema hutakiwi kuyakimbia unatakiwa wanaokudai uwe nao karibu ukiwakmbia na wewe presha ndo inazidi,kuwa nao karibu waambie ukweli kuhusu hali yako usiwafiche na waahidi utawalipa,huku ukiendelea kuomba Mungu sana.....Nakupa siku 10 utashangaa kila balaa limeyeyuka kwa njia ambayo hata wewe utashindwa kuhadithia......Yalinikuta mimi mkuu ndomana nakwambia hivyo.
Usiwaze kujiua huko ndo kubaya zaidi mkuu.
Daaahh M/Mungu akubariki kwa ushauri mzuri mkuu

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1995083
Leo nimetumiwa ujumbe na huyu binti. Pepole are going through tough times mkuu. Usikate tamaa. Persevere through all hardships mkuu.

Unaweza ukata tamaa lakini kuna mtu ambaye yupo kwenye tight spot zaidi yako na hajakata tamaa.

I wish you all the best.
Nancy kafanyaje tena mkuu? Umeshamkorofisha tena mara hii?
 
Back
Top Bottom