Nimejiridhisha: Wana-Kagera ni 'nshomile' kweli. Waliyoyaamua dhidi ya Dkt. Magufuli mioyoni mwao ni mazito!

Nami nimefuatilia nimegundua kuwa kuna nyumbu bado wana changishwa fedha hali ya kuwa wenyewe hata mlo mmoja ni wa kubabaisha na bado wana matumaini yakuchukua nchi kwa kupitia michango yao.
Mkuu si heri huyu anayewachangisha watu kwa hiari yao,yaani unaweza ukatoa au akaacha,Magu anakuchangisha kwa nguvu,yaani anakupa kesi ya uhujumu uchumi,unanyimwa dhamana kisha DPP anakuja kukuchangisha kwa lazima ili utoke gerezani.Rugemalira aliyegoma kutoa mchango unajua yupo wapi hadi sasa?
 
Safi sana Kagera,........mmefanya jambo ambalo hata wanaccm wamelifurahia sana yani
 
Niko ndani ya mkoa wa Kagera kwa siku tatu sasa. Nimekuwa katika tafiti 'fit' za kikampeni. Nimefuatilia pia mikutano yote ya kampeni ya mgombea wetu wa Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli Nimeingia na 'site' mbalimbali hapa Kagera. Wana-Kagera nimewakubali. Wamenidhihirishia kuwa wao wamesoma kwelikweli, yaani, 'ishomile'. Mioyoni mwao wamepanga hili, hadharani wanaonesha lile.

Wamechukua tahadhari baada ya mikwara ya kutopata maendeleo endapo hawatawachagua wagombea wa CCM uchaguzini. wameamua kuwa 'wasanii' kwa muda ili wamuoneshe Dkt. Magufuli kuwa wako naye; wanampenda; wanamuunga mkono na wanamwamini. Ndani ya mioyo yao, mambo ni tofauti. Na watu hutema nyongo zao sirini. Katika harakati zetu za kiintelijensia ya kisiasa, tumeongea na wananchi wengi.

Wana-Kagera bado wana maumivu juu ya kilichotokea wakati wa tetemeko la ardhi na madhila waliyoyapata. Kubwa zaidi, ni namna suala hilo lilivyoshughulikiwa. Rambirambi zikayeyuka; makazi wakaachiwa wenyewe wayatengeneze; majeruhi wakajitibu kwa tabu wenyewe na kadhalika. Bado, maneno makali ya Dkt. Magufuli kwa wahanga wa tetemeko yanaendelea kuchoma na kufukuta ndani ya mioyo yao. Wamepanga kuonesha tarehe 28 Oktoba kwenye sanduku la kura.

Uwepo wangu hapa Kagera umenionesha mengi yaliyofichwa na Wana-Kagera tayari kutolewa kupitia sanduku la kura Oktoba 28. 'Ishomile' hawa wa Kagera wametudokeza kwa kutuuliza: inakuwaje Mpambanaji wa rushwa kama Dkt. Magufuli 'akatae kustaafu' kwa Prof. Tibaijuka ambaye alikuwa kwenye kashfa ya ufisadi wa mabilioni ya Escrow? wana-Kagera wamejilinda kwa kutoonesha hasira zao kwa mgombea wetu. Lakini, watautuma ujumbe siku ya kura.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kagera, Tanzania)

Acha ujinga dogo.

Usijipe umaarufu kwa kujifanya wajua kusoma mioyo ya watu.

Ramli mnazopiga hazina mashiko
 
Porojo tu hizo, zimeandikwa tangu mfumo wa vyama vingi kuingia.Mwaka 1995 Benjamini Mkapa alikataliwa na wananchi wakati akinadiwa na Hayati baba wa Taifa Mwl. Nyerere pale Morogoro wananchi walimkataa hadharani, lakini mwisho wa matokea Mkapa aliibuka mshindi. Unayoyasema hayatamfanya JPM ashindwe kurudi ikulu, ushindi wake ni 85-95% huo ndiyo ukweli mchungu kwa upinzani
Kama ninayoyasikia ni kweli,basi subiria uone,bila kushindishwa ccm ingekuwa ishafutika Tanzania. Though maccm si ya kuamini but acha tusubiri tuone
 
Porojo tu hizo, zimeandikwa tangu mfumo wa vyama vingi kuingia.Mwaka 1995 Benjamini Mkapa alikataliwa na wananchi wakati akinadiwa na Hayati baba wa Taifa Mwl. Nyerere pale Morogoro wananchi walimkataa hadharani, lakini mwisho wa matokea Mkapa aliibuka mshindi. Unayoyasema hayatamfanya JPM ashindwe kurudi ikulu, ushindi wake ni 85-95% huo ndiyo ukweli mchungu kwa upinzani
alishinda kwasababu ya mahaba waliyonayo wananchi kwa baba wa Taifa. Tofauti na sasa mama maria ametuonyesha yupo na sisi nawala siyo CCM tena ya mzee mtukufu.
 
Niko ndani ya mkoa wa Kagera kwa siku tatu sasa. Nimekuwa katika tafiti 'fit' za kikampeni. Nimefuatilia pia mikutano yote ya kampeni ya mgombea wetu wa Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli Nimeingia na 'site' mbalimbali hapa Kagera. Wana-Kagera nimewakubali. Wamenidhihirishia kuwa wao wamesoma kwelikweli, yaani, 'ishomile'. Mioyoni mwao wamepanga hili, hadharani wanaonesha lile.

Wamechukua tahadhari baada ya mikwara ya kutopata maendeleo endapo hawatawachagua wagombea wa CCM uchaguzini. wameamua kuwa 'wasanii' kwa muda ili wamuoneshe Dkt. Magufuli kuwa wako naye; wanampenda; wanamuunga mkono na wanamwamini. Ndani ya mioyo yao, mambo ni tofauti. Na watu hutema nyongo zao sirini. Katika harakati zetu za kiintelijensia ya kisiasa, tumeongea na wananchi wengi.

Wana-Kagera bado wana maumivu juu ya kilichotokea wakati wa tetemeko la ardhi na madhila waliyoyapata. Kubwa zaidi, ni namna suala hilo lilivyoshughulikiwa. Rambirambi zikayeyuka; makazi wakaachiwa wenyewe wayatengeneze; majeruhi wakajitibu kwa tabu wenyewe na kadhalika. Bado, maneno makali ya Dkt. Magufuli kwa wahanga wa tetemeko yanaendelea kuchoma na kufukuta ndani ya mioyo yao. Wamepanga kuonesha tarehe 28 Oktoba kwenye sanduku la kura.

Uwepo wangu hapa Kagera umenionesha mengi yaliyofichwa na Wana-Kagera tayari kutolewa kupitia sanduku la kura Oktoba 28. 'Ishomile' hawa wa Kagera wametudokeza kwa kutuuliza: inakuwaje Mpambanaji wa rushwa kama Dkt. Magufuli 'akatae kustaafu' kwa Prof. Tibaijuka ambaye alikuwa kwenye kashfa ya ufisadi wa mabilioni ya Escrow? wana-Kagera wamejilinda kwa kutoonesha hasira zao kwa mgombea wetu. Lakini, watautuma ujumbe siku ya kura.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kagera, Tanzania)

October 28
 
chonde chonde baada ya uchaguzi tusisikie watu kulia wameibiwa kura, endeleeni kudanganyana jf.
 
Ni kawaida ya nyumbu kudhani yuko salama mbele ya Simba
Hawa ndo Raia wa Kagera.. . . Naomba mnisaidie kuwatag ndugu zangu wa Kagera ( 640 X 640 ).jpg
 
Porojo tu hizo, zimeandikwa tangu mfumo wa vyama vingi kuingia.Mwaka 1995 Benjamini Mkapa alikataliwa na wananchi wakati akinadiwa na Hayati baba wa Taifa Mwl. Nyerere pale Morogoro wananchi walimkataa hadharani, lakini mwisho wa matokea Mkapa aliibuka mshindi. Unayoyasema hayatamfanya JPM ashindwe kurudi ikulu, ushindi wake ni 85-95% huo ndiyo ukweli mchungu kwa upinzani
Hizi zitakuwa zile m29 za Tume.
 
Magufuli hawezi kushinda urais hata kwa nyumba kumi tuu kwa wapiga kura wenye Afya njema ya Akili.
Ndio maana Kikwete alipo kuwa anaondoka alisema "Naondoka mie mtanikumbuka " Alijua mgombea wao ni Garasa tupu.
 
Porojo tu hizo, zimeandikwa tangu mfumo wa vyama vingi kuingia.Mwaka 1995 Benjamini Mkapa alikataliwa na wananchi wakati akinadiwa na Hayati baba wa Taifa Mwl. Nyerere pale Morogoro wananchi walimkataa hadharani, lakini mwisho wa matokea Mkapa aliibuka mshindi. Unayoyasema hayatamfanya JPM ashindwe kurudi ikulu, ushindi wake ni 85-95% huo ndiyo ukweli mchungu kwa upinzani

Ndiyo huo mwaka ambao songea upinzani haukupata kura hata moja ndiyo unasema, ni mifano ya hovyo sana kila mtu anafahamu kuwa chama cha mbogamboga kimechokwa na kila mtu kimebakia kutumia mbinu za kuengua wagombea wa upinzani na wizi wa kura. Huu mwaka ndo mwisho wa CCM
 
Mkuu si heri huyu anayewachangisha watu kwa hiari yao,yaani unaweza ukatoa au akaacha,Magu anakuchangisha kwa nguvu,yaani anakupa kesi ya uhujumu uchumi,unanyimwa dhamana kisha DPP anakuja kukuchangisha kwa lazima ili utoke gerezani.Rugemalira aliyegoma kutoa mchango unajua yupo wapi hadi sasa?
Rugemalila huwezi kumfananisha na mwenzangu na mimi anaeungaunga kutafuta nauli ya kuja kwenye mkutano halafu nauli yake inachukuliwa anarudi nyumbani na mguu. Ni tofauti mkuu
 
Niko ndani ya mkoa wa Kagera kwa siku tatu sasa. Nimekuwa katika tafiti 'fit' za kikampeni. Nimefuatilia pia mikutano yote ya kampeni ya mgombea wetu wa Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli Nimeingia na 'site' mbalimbali hapa Kagera. Wana-Kagera nimewakubali. Wamenidhihirishia kuwa wao wamesoma kwelikweli, yaani, 'ishomile'. Mioyoni mwao wamepanga hili, hadharani wanaonesha lile.

Wamechukua tahadhari baada ya mikwara ya kutopata maendeleo endapo hawatawachagua wagombea wa CCM uchaguzini. wameamua kuwa 'wasanii' kwa muda ili wamuoneshe Dkt. Magufuli kuwa wako naye; wanampenda; wanamuunga mkono na wanamwamini. Ndani ya mioyo yao, mambo ni tofauti. Na watu hutema nyongo zao sirini. Katika harakati zetu za kiintelijensia ya kisiasa, tumeongea na wananchi wengi.

Wana-Kagera bado wana maumivu juu ya kilichotokea wakati wa tetemeko la ardhi na madhila waliyoyapata. Kubwa zaidi, ni namna suala hilo lilivyoshughulikiwa. Rambirambi zikayeyuka; makazi wakaachiwa wenyewe wayatengeneze; majeruhi wakajitibu kwa tabu wenyewe na kadhalika. Bado, maneno makali ya Dkt. Magufuli kwa wahanga wa tetemeko yanaendelea kuchoma na kufukuta ndani ya mioyo yao. Wamepanga kuonesha tarehe 28 Oktoba kwenye sanduku la kura.

Uwepo wangu hapa Kagera umenionesha mengi yaliyofichwa na Wana-Kagera tayari kutolewa kupitia sanduku la kura Oktoba 28. 'Ishomile' hawa wa Kagera wametudokeza kwa kutuuliza: inakuwaje Mpambanaji wa rushwa kama Dkt. Magufuli 'akatae kustaafu' kwa Prof. Tibaijuka ambaye alikuwa kwenye kashfa ya ufisadi wa mabilioni ya Escrow? wana-Kagera wamejilinda kwa kutoonesha hasira zao kwa mgombea wetu. Lakini, watautuma ujumbe siku ya kura.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kagera, Tanzania)

'ishomile'.
 
Rugemalila huwezi kumfananisha na mwenzangu na mimi anaeungaunga kutafuta nauli ya kuja kwenye mkutano halafu nauli yake inachukuliwa anarudi nyumbani na mguu. Ni tofauti mkuu
Ukimsikiliza Tundu Lissu anaongea zaidi kwa huzuni kuliko hasira sio kama anavyofanya mpinzani wake meko.

Tundu Lissu anaendelea KUSEMA Watanzania wamepoteza maisha yao na kazi zao:kutokana na rais ambaye hasemeleki hataki kukosolewa, analaumu wengine, anakataa ushirikiano na mpenda chuki.
 
Back
Top Bottom