Nimejiridhisha: Wana-Kagera ni 'nshomile' kweli. Waliyoyaamua dhidi ya Dkt. Magufuli mioyoni mwao ni mazito!

Katibu mkuu wa CCM nilimuokota kemondo alikuwa anauza ndizi, process ana amestahafu Ila kwangu mimi ajihesabu hajastahafu serikalini Kuna nafasi nyingi sana siwezi kukubali profesa mzima Tena Dada yangu hastahafu, Masilingi aliyekuwa mbunge wenu kabla ya profesa nilimteua kuwa balozi Marekani.

Kuna huyu alikuwa diwani wenu muleba anaitwa milanga alikuwa upinzani akaamia CCM Sasa hivi nimemteuwa kuwa katibu wa CCM uko kigoma. Alafu kuna graduate na akili zake timamu anasema Magufuli mitano Tena. Yani Kuna watu sijui ubongo wao una virus basi tu.
Hivi ukiwaambia watu kwamba mtu wenu huyu nimemteua mtu wenu yule nitamteua, hii yaani inamaana gani aisee.
Yale maeneo ambayo hayana au hayatakua na mtu uliye au utakayemteua nini hatima yake. Maaaaana hizi kauli zimezidi sana.
 
Kwa upande wako Magufuli alichowafanyia wana Kagera wakati wa tetemeko ni sawa?
Wahanga wa TETEMEKO walioteseka kwa kunyimwa misaada kwa kejeli za yesu wa Burigi, wengi na familia bado wapo, wako hai.
Kama anajifanya hakumbuki, 28/10 mwaka huu ATAKUMBUSHWA., kuwa: "kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna". Mhubiri 3:2
 
Niko ndani ya mkoa wa Kagera kwa siku tatu sasa. Nimekuwa katika tafiti 'fit' za kikampeni. Nimefuatilia pia mikutano yote ya kampeni ya mgombea wetu wa Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli Nimeingia na 'site' mbalimbali hapa Kagera. Wana-Kagera nimewakubali. Wamenidhihirishia kuwa wao wamesoma kwelikweli, yaani, 'ishomile'. Mioyoni mwao wamepanga hili, hadharani wanaonesha lile.

Wamechukua tahadhari baada ya mikwara ya kutopata maendeleo endapo hawatawachagua wagombea wa CCM uchaguzini. wameamua kuwa 'wasanii' kwa muda ili wamuoneshe Dkt. Magufuli kuwa wako naye; wanampenda; wanamuunga mkono na wanamwamini. Ndani ya mioyo yao, mambo ni tofauti. Na watu hutema nyongo zao sirini. Katika harakati zetu za kiintelijensia ya kisiasa, tumeongea na wananchi wengi.

Wana-Kagera bado wana maumivu juu ya kilichotokea wakati wa tetemeko la ardhi na madhila waliyoyapata. Kubwa zaidi, ni namna suala hilo lilivyoshughulikiwa. Rambirambi zikayeyuka; makazi wakaachiwa wenyewe wayatengeneze; majeruhi wakajitibu kwa tabu wenyewe na kadhalika. Bado, maneno makali ya Dkt. Magufuli kwa wahanga wa tetemeko yanaendelea kuchoma na kufukuta ndani ya mioyo yao. Wamepanga kuonesha tarehe 28 Oktoba kwenye sanduku la kura.

Uwepo wangu hapa Kagera umenionesha mengi yaliyofichwa na Wana-Kagera tayari kutolewa kupitia sanduku la kura Oktoba 28. 'Ishomile' hawa wa Kagera wametudokeza kwa kutuuliza: inakuwaje Mpambanaji wa rushwa kama Dkt. Magufuli 'akatae kustaafu' kwa Prof. Tibaijuka ambaye alikuwa kwenye kashfa ya ufisadi wa mabilioni ya Escrow? wana-Kagera wamejilinda kwa kutoonesha hasira zao kwa mgombea wetu. Lakini, watautuma ujumbe siku ya kura.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kagera, Tanzania)

Unazidi kutuchongea vp ndugu yangu?
 
Magufuli anaponzwa na uwezo wake mdogo wa kuelewa mambo mbalimbali ya kitaifa na kimataifa hivyo kumfanya adeal na petty issues ndo maana akadhani kumuahidi cheo Prof Tiba ndo yaweza kuwa njia ya kupata kura kagera. Lakini pia uwezo wake mdogo ndo unamfanya aamini kuwa maendeleo yanapelekwa sehemu na rais na CCM yake. Shame on him.

Anawahonga wahaya kwa kuahidi kumpa cheo fisadi mwenzie!!!! ISHOMILE wanajitambua!
 
Hata kama hajaweka statistics, hivi kwa akili yako kuna mtu mwenye akili timamu anaweza akampa kura magufuli? Alifanikiwa kuwa rais wetu 2015 kwa bahati mbaya,we now know him, hatufai
Kwahiyo wewe una akili?

Kama hizi ndo kampeni basi tunasafari ndefu , Magufuli is the best Rais , nawashangaa hata mnaobwabwaja kumpinga Magufuli kampeni zenyewe zimewashinda mnaomba msaada.
 
Huyu anaweza kuchimba canal ya ziwa Victoria akajenga bandari Chato, kaishatengeneza mbuga za wanyama. Hafai mbinafsi kama asili ya madikteta ilivyo
Hakuna tatizo ilimradi anayoyafanya wananchi wananufaika nayo. Tunataka Chato iwe ni Dubai ndogo kwani ndilo eneo lililotipa haeshima kwa kutuletea huyu Mkombozi.
 
CHADEMA WANA CHUKI NA KANDA YA ZIWA NA SABABU ZIKO WAZI,
TUKUTANE 28 OCTOBER
 
Niko ndani ya mkoa wa Kagera kwa siku tatu sasa. Nimekuwa katika tafiti 'fit' za kikampeni. Nimefuatilia pia mikutano yote ya kampeni ya mgombea wetu wa Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli Nimeingia na 'site' mbalimbali hapa Kagera. Wana-Kagera nimewakubali. Wamenidhihirishia kuwa wao wamesoma kwelikweli, yaani, 'ishomile'. Mioyoni mwao wamepanga hili, hadharani wanaonesha lile.

Wamechukua tahadhari baada ya mikwara ya kutopata maendeleo endapo hawatawachagua wagombea wa CCM uchaguzini. wameamua kuwa 'wasanii' kwa muda ili wamuoneshe Dkt. Magufuli kuwa wako naye; wanampenda; wanamuunga mkono na wanamwamini. Ndani ya mioyo yao, mambo ni tofauti. Na watu hutema nyongo zao sirini. Katika harakati zetu za kiintelijensia ya kisiasa, tumeongea na wananchi wengi.

Wana-Kagera bado wana maumivu juu ya kilichotokea wakati wa tetemeko la ardhi na madhila waliyoyapata. Kubwa zaidi, ni namna suala hilo lilivyoshughulikiwa. Rambirambi zikayeyuka; makazi wakaachiwa wenyewe wayatengeneze; majeruhi wakajitibu kwa tabu wenyewe na kadhalika. Bado, maneno makali ya Dkt. Magufuli kwa wahanga wa tetemeko yanaendelea kuchoma na kufukuta ndani ya mioyo yao. Wamepanga kuonesha tarehe 28 Oktoba kwenye sanduku la kura.

Uwepo wangu hapa Kagera umenionesha mengi yaliyofichwa na Wana-Kagera tayari kutolewa kupitia sanduku la kura Oktoba 28. 'Ishomile' hawa wa Kagera wametudokeza kwa kutuuliza: inakuwaje Mpambanaji wa rushwa kama Dkt. Magufuli 'akatae kustaafu' kwa Prof. Tibaijuka ambaye alikuwa kwenye kashfa ya ufisadi wa mabilioni ya Escrow? wana-Kagera wamejilinda kwa kutoonesha hasira zao kwa mgombea wetu. Lakini, watautuma ujumbe siku ya kura.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kagera, Tanzania)
Na wewe unaitwa great thinker?
 
Wewe

Wewe bonge la msanii. Hongera kwa usanii huo ila Kagera hatuwezi kumchagua Magu. Alisema hawezi kutusaidia kwa kuwa hakuleta tetemeko.
 
Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.

Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa.

Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.

Huyu mtu hatufai kabisa.
Broo kuna siri nzito kuhusu maiti zilizookotwa Huko coco beach .
Lakini wengi ni wale waliokuwa wanauliwa Kibiti na mukuranga.
 
Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.

Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa.

Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.

Huyu mtu hatufai kabisa.
Wameshaanza kutimuana huko. Mwenyekiti wa ccm kaliwa kichwa.
 
Back
Top Bottom