Nimejiandaa vizuri ila bado nime bugi

Nimejiandaa vizuri ila bado nime bugi

pokeeni salamu zangu,

miezi miwili iliopita niliingia kwenye mahusiano na binti wa chuo yeye akiwa field mbeya, leo ndio ilikua siku ya kupewa tunda na kwa muda wote nilikua nimejianda vizuri matikiti nimekula, supu ya pweza kila siku, ugali sembe usiseme na mazoezi nayo sio haba.
pamoja na show za mara moja moja nilizokuwa napiga zote nilisimamia vizuri ila nashangaa leo nimeflop kwa kiwango cha juu yaani bao 2 zote chin ya sekunde 20 na mpenzi alisema leo atalala sasa kazira anadai anaenda kupeleka mizigo chuo hivo kaondoka.
nasikitika sijui kimetokea nini binti ni mzuri ananiambia nisijali anajua sijapenda ila hii aibu naificha vipi na nini nifanye isijirudie.
Mkuu mbona umeandika kwa haraka hivyo kama vilel unakimbizwa? Tulia, kaa chini utueleze story inayoeleweka. Imekuwaje kwani?
 
Hayo ndo madhara ya kupania kitu kwa mda mrefu. Kitu cha kufnya acha kupania na kuwa normal and ask for another round
 
Mkuu mbona umeandika kwa haraka hivyo kama vilel unakimbizwa? Tulia, kaa chini utueleze story inayoeleweka.
mtoto kanikimbia kwa sababu za kizembe natuliaje
 
tangu nibalehe vya kutosha ni mara y kwanza tena kwenye mechi muhimu kabisa.
Ulikua over excited,nothing to worry hata mume wangu siku nimeolewa tumeenda Honeymoon ilikua kama hivyo ila siku onyesha mbele yake lakini nilijiuliza peke yangu ivi ndio maisha ntakayokua naishi haya? lol later nikamuona hana raha
nikamwambia its fine kumbuka kua mimi ni mke wako na niko hapa kwa ajili yako,nile pole pole kwa nafasi yako hata niamshe usiku wa manane mie wako,nna hakika kuna mengi umeniwekea unionyesha lakini fanya kwa Raha zako..
basi hiyo ikawa dawa nxt morning kabla ya Breakfast huyu niliona jun july,nilijuta kwanini nilimwambia hata usiku wa manane niamshe lol, sasa tuliza munkar kione kitu cha kawaida ....
 
nashukuru kwa maneno ya kufariji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom