Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,750
- 172,084
Umepania kuipiga papuchi mwisho imekutoa nishai
hatareee pmj n.a. pweza umetoka olaaaTeh teh ona sasa gharama zote za kununua pweza zimekwenda bure! Uzinzi unagharimu.
Lazima ujinadi ili uipate kirahisiHaha..halafu ukute ulijisifu kwa mtoto ile mbaya. Sometimes wanaume tuachane kunadi sex ability yetu kabla ya mchezo
huyo binti bado mtoto hajakomaa ndo kanuna badala akupe moyo akuulize baby kulikonni unaumwa au,,aseme usijali baby.....pokeeni salamu zangu,
miezi miwili iliopita niliingia kwenye mahusiano na binti wa chuo yeye akiwa field mbeya, leo ndio ilikua siku ya kupewa tunda na kwa muda wote nilikua nimejianda vizuri matikiti nimekula, supu ya pweza kila siku, ugali sembe usiseme na mazoezi nayo sio haba.
pamoja na show za mara moja moja nilizokuwa napiga zote nilisimamia vizuri ila nashangaa leo nimeflop kwa kiwango cha juu yaani bao 2 zote chin ya sekunde 20 na mpenzi alisema leo atalala sasa kazira anadai anaenda kupeleka mizigo chuo hivo kaondoka.
nasikitika sijui kimetokea nini binti ni mzuri ananiambia nisijali anajua sijapenda ila hii aibu naificha vipi na nini nifanye isijirudie.
huku relax ulipaniapokeeni salamu zangu,

kumbe ni tatizo la kawaamida ukikamia atleast nimefarijikamkuu bora yako hata ulipiga tuwili japo twepesi kama bisi.
miaka kadhaa ilopita niliwahi kukamia game matokeo yake ile namaliza kuvaa zana ghafla ikaanza kupwaya. aloo niliona kama vitu vyote chumbani viko upside down. yani kama kama tumekalia dari na sakafu ndo dari.
nilimalza wiki nzima nikila chakula sihisi ladha. Si haba next time nilipiga kazi mdada watu kaondoka kyupi mkononi.
asee siku ingine usikamie game. yale mambo hayakamiwi ohoo utakonda ufe!!
Shemeji kumbe wewe ni mtaalam buana!Tatizo ya kupania sana ndio hilo
Ukajipepea wewe, kazi unayo mwanaumenilimwambia abebe gazeti la kujipepea lakini lol
Ling'oe tu kwakweli, uliuze huku uswazi tulile mishikakinikikumbuka nilitamani kuling'oa dushe limenitia aibu
shem wako ni kibokoShemeji kumbe wewe ni mtaalam buana!