Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

Kama unafuatilia vizuri. Mabati ya geji 32 hayapati kutu. Hayo ya 28, 30 nk kwa kutu usiseme.
Tatizo la geji liko kisaikolojia zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
32 gauge ndio mabati hafifu kabisa...... Haya ndio yale huwa yanabonyea bonyea na kuchanika kama karatasi baada ya kuwekwa..... Kuna viwanda hawatengenezi tena haya maana ni lawama.....

Gauge ambayo inakubalika kiujenzi ni kuanzia 28 na 26 hayo ni magumu na ni mkataba ukiweka.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, poleni na janga hili la corona. I hope mnachukua tahadhari zote ili kubaki salama. Basi leo nimeona vema nishee namna nilovokamilisha ujenzi wa kijibanda changu. Najua kuna mtu ntakua nmemsaidia na kumtia moyo kwamba kwa kidogo alichonacho, inawezekana kuepukana na adha za ma faza house.

Nyumba nimejenga ni ndogo ila inanitosha. Ni vyumba viwili vya kulala, sebule, choo na korido fulani ambapo ndo kuna jiko kupikia. Kiwanja nilinunua 25 kwa 25 nilinunua mwaka juzi 2018 kwa sh milion4.5 locationi ni madale mwisho. So nkaona kujenga nyumba kubwa itanichukua muda mrefu kulinganisha na kipato changu, so nkajenga nyumba hii ndogo pemben kabisa ya uwanza, na kuacha nafasi kubwa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba kubwa hapo baadae. Nyumba hii imeanza kuchimbwa msingi tar 22 feb 2020 na baada ya siku 29 me nkahamia.

Baada ya kuezeka milangoni na madirisha nmewekaMa drill. Na nyavu za kukinga mbu. Bado cjaweka plasta. Na chini ni rough floor. Sijaweka ceiling board , namaanisha dari. Hii nmeweka chooni tuu. Milango ya mbao ni miwili wa chooni na wa sebuleni. Umeme pia bado ila nmeshalipia nawasubiri jamaa wakuje kuwasha.

So nyumba hii cjacomplicate saana. Nmejenga simple tuu. Maana kuna bandiko niliona humu jf jamaa alisema ujenzi ni ww na maamuzi yako unatakaje. Unaweza jenga kwa m10 ramani ile ile ambayo mwingne kajenga kwa m20.

Gharama za ujenzi.
Vifaa vya ujenzi vyote vilinunuliwa siku moja. Tar 22 feb 2020. Lengo la kununua kwa siku moja ni kupunguza gharama za usafiri kununua kimoja kimoja. Nilinunua na nikaweka hapa kwa jirani yangu.

Vifaa vyote vilinunuliwa maduka ya madale mwisho. Actually kabla sijanunua nilienda maduka ya town tegeta kule, nkaulizia bei baada ya kupiga tathmin nkagundua cjakwepa kitu. Nei ni zile zile tuu. So nkaona bora ninunue madale ntasave kidogo kweenye usafiri. So gharama ni kama ifuatavyo.

Bati geji 32 @ 18,500 = 740,000
Cement 37 @13,500 = 499,500
Mbao papi 18 @ 10,000 = 180,000
Mbao kenchi 40 @ 5,800 = 232,000
Mbao zege 15 @ 7,500= 112,500
Misumari nchi 4 kg 10 @ 3,000 = 30,000
Misumari bati kg 9 @ 6,000 = 54,000
Misumari nchi 3 kg 2 @ 3,000 = 6,000
Koa 2 @ 3,500= 7,000
Nondo 10 @ 18,000 = 180,000
Sink la choo 1 @ 18,000
Bomba 2 nchi 4 @ 13,000 = 26,000
Bomba nusu nchi 1.5 @ 7,500 = 3,500
Pitrap 1 @ 2,500
Elbow 2 @ 3,500 = 7,000
Usafiri 40,000
Kuchimba shimo la choo 230,000
Mchanga tipa 4 @55,000 = 220,000
Kokoto tipa 1 @ 150,000
Tofali 1650 @ 1025 = 1,691,250
Grill madirisha 4 @ 150,000= 600,000
Grill mlango 1 @ 200,000
Grill dirisha choo 1 @ 30,000
Mlango wa sebule 150,000
Nyavu za mbu na zile zingne nilisahau kurekodi. Lets say 100,000

Fundi 1,300,000 ( alifanya kila kitu)
Saidia fundi 29 days @10,000 = 290,000
Chakula mchana 29 days @ 3,000= 87,000
Jumla niliyopata kwa gharama zote hizo juu ni
7,200,000

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka itakua mkoan mkuu
 
Jamaa anajipa matumain
 
Ukijena banda la bata sio unakuja jf kujisifia ,wenye nyumba zao hawaonyeshi ,nenda mbweni kiamboni kwa mfano ..zile nyumba uliwahi ona wenye nazo wanakuja jf? wenye njaa ndio wanahangaika jf
Wale ni wabinafsi Kama wewe ulivyo
Wenzako wanatutia moyo sisi wenye kipato Cha vyumba viwili tuna haki ya kutiana moyo tusonge mbele Kama vipi muombe forum yenu ya mabepari[emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Clinker belite,

Hongera sana mkuu watu wa aina yako ndio wakuigwa, nimependezwa sana na hesabu zako binafsi Mimi ni mdau wa ujenzi upande wa bati nikupongeze Sana ila ungeniona mapema hapo kwenye bati ningekupatia bati gauge 30 yenye upana mzuri kwa Bei nzuri kabisa.

Hata Mimi mwenyenyewe nakaribia kupaua nitaweka mageti na grills na kuhamia hivohivo.

Kwa yeyote aliye serious na anayehitaji bati aje kwenye group hili tuzungumze biashara apate mzigo nzuri kabisa wa bati za AluZinc zisizopata kitu daima, bonyeza link Pros building materials.

Kwa Bati Nzuri nipigie 0658339930

Ofisi yako ipo wapi mkuu
 
Wakuu, poleni na janga hili la corona. I hope mnachukua tahadhari zote ili kubaki salama. Basi leo nimeona vema nishee namna nilovokamilisha ujenzi wa kijibanda changu. Najua kuna mtu ntakua nmemsaidia na kumtia moyo kwamba kwa kidogo alichonacho, inawezekana kuepukana na adha za ma faza house.

Nyumba nimejenga ni ndogo ila inanitosha. Ni vyumba viwili vya kulala, sebule, choo na korido fulani ambapo ndo kuna jiko kupikia. Kiwanja nilinunua 25 kwa 25 nilinunua mwaka juzi 2018 kwa sh milion4.5 locationi ni madale mwisho. So nkaona kujenga nyumba kubwa itanichukua muda mrefu kulinganisha na kipato changu, so nkajenga nyumba hii ndogo pemben kabisa ya uwanza, na kuacha nafasi kubwa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba kubwa hapo baadae. Nyumba hii imeanza kuchimbwa msingi tar 22 feb 2020 na baada ya siku 29 me nkahamia.

Baada ya kuezeka milangoni na madirisha nmewekaMa drill. Na nyavu za kukinga mbu. Bado cjaweka plasta. Na chini ni rough floor. Sijaweka ceiling board , namaanisha dari. Hii nmeweka chooni tuu. Milango ya mbao ni miwili wa chooni na wa sebuleni. Umeme pia bado ila nmeshalipia nawasubiri jamaa wakuje kuwasha.

So nyumba hii cjacomplicate saana. Nmejenga simple tuu. Maana kuna bandiko niliona humu jf jamaa alisema ujenzi ni ww na maamuzi yako unatakaje. Unaweza jenga kwa m10 ramani ile ile ambayo mwingne kajenga kwa m20.

Gharama za ujenzi.
Vifaa vya ujenzi vyote vilinunuliwa siku moja. Tar 22 feb 2020. Lengo la kununua kwa siku moja ni kupunguza gharama za usafiri kununua kimoja kimoja. Nilinunua na nikaweka hapa kwa jirani yangu.

Vifaa vyote vilinunuliwa maduka ya madale mwisho. Actually kabla sijanunua nilienda maduka ya town tegeta kule, nkaulizia bei baada ya kupiga tathmin nkagundua cjakwepa kitu. Nei ni zile zile tuu. So nkaona bora ninunue madale ntasave kidogo kweenye usafiri. So gharama ni kama ifuatavyo.

Bati geji 32 @ 18,500 = 740,000
Cement 37 @13,500 = 499,500
Mbao papi 18 @ 10,000 = 180,000
Mbao kenchi 40 @ 5,800 = 232,000
Mbao zege 15 @ 7,500= 112,500
Misumari nchi 4 kg 10 @ 3,000 = 30,000
Misumari bati kg 9 @ 6,000 = 54,000
Misumari nchi 3 kg 2 @ 3,000 = 6,000
Koa 2 @ 3,500= 7,000
Nondo 10 @ 18,000 = 180,000
Sink la choo 1 @ 18,000
Bomba 2 nchi 4 @ 13,000 = 26,000
Bomba nusu nchi 1.5 @ 7,500 = 3,500
Pitrap 1 @ 2,500
Elbow 2 @ 3,500 = 7,000
Usafiri 40,000
Kuchimba shimo la choo 230,000
Mchanga tipa 4 @55,000 = 220,000
Kokoto tipa 1 @ 150,000
Tofali 1650 @ 1025 = 1,691,250
Grill madirisha 4 @ 150,000= 600,000
Grill mlango 1 @ 200,000
Grill dirisha choo 1 @ 30,000
Mlango wa sebule 150,000
Nyavu za mbu na zile zingne nilisahau kurekodi. Lets say 100,000

Fundi 1,300,000 ( alifanya kila kitu)
Saidia fundi 29 days @10,000 = 290,000
Chakula mchana 29 days @ 3,000= 87,000
Jumla niliyopata kwa gharama zote hizo juu ni
7,200,000

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo haijawa nyumba
 
Kwenye mchanganuo wako mbona hakuna matofari?
 
Yaani kwa hichi kibanda kimekula zaidi ya 7 m na bado ni pagala sasa akifanya finishing si atafika 10 m,ambayo ni gharama ya kujenga nyumba standard mkoani.Hivi huwa mnafanya hesabu gani nyie.Afu hapo mtu anasema atajenga sijui nyumba ya ndoto zake unadhani mtu mwenye kipato cha kubahatisha anaweza jenga nyumba ya ndoto zake yenye hadhi kwa staili hii?
 
Acha Dharau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom