Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,349
- 201,629
Duh natamani nikabomoe nikuige. Hongera mkuu
Usijali sana Mkuu sifa ya moyo ni tamaa, Kwahiyo umetenda haki kutamani
Duh natamani nikabomoe nikuige. Hongera mkuu
DRILL = GRILL
kazi nzuri kaka, hongera kwa kuhamia kwako
huu uzi utakuwa msaada sana kwa wengine
mimi nina hiyo hela yako mara 4 lakini sijui nianzie wapi
Boss umeumwa nini hadi io hela imeisha.hongera huo ndio uanaume, picha tafadhali!!!!. Nimepata kawivu ka maendeleo...nilikuwa na pesa kama hiyo ila imepukutika kwa kujihudumia nilipokuwa naumwa.....nimeudhika sana, kuanza moja kuitafuta tena ni neema za kiMungu sasa!. Hongera sana kwa mara nyingine
Dooh hii ina unafuu kwa walio Dar aseeHongera sana mkuu watu wa aina yako ndio wakuigwa, nimependezwa sana na hesabu zako binafsi Mimi ni mdau wa ujenzi upande wa bati nikupongeze Sana ila ungeniona mapema hapo kwenye bati ningekupatia bati gauge 30 yenye upana mzuri kwa Bei nzuri kabisa.
Hata Mimi mwenyenyewe nakaribia kupaua nitaweka mageti na grills na kuhamia hivohivo.
Kwa yeyote aliye serious na anayehitaji bati aje kwenye group hili tuzungumze biashara apate mzigo nzuri kabisa wa bati za AluZinc zisizopata kitu daima, bonyeza link Pros building materials
Kwa Bati Nzuri nipigie 0658339930
Mkoani kuna ugumu gani mzeeDooh hii ina unafuu kwa walio Dar asee
Kwa mil saba huoni kwamba mpaka hapo kaenda vizuri sana?Nyumba yenyewe bado hata haijakamilika
Bado vitu vingi Mkuu
Hela lazima ukitoke Mkuu
Bado hilo ni pagare Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv mkuu gauge kubwa ndio bati zinapungua ubora au?mana kuna gauge 28 pia!Dooh hii ina unafuu kwa walio Dar asee
Nimeumwa karibia mwaka mzima pamoja na wachawi walikuwa wanajaribu kunitoa duniani kupitia nilichokuwa naumwa basi ikawa tabu tupu, nmejikuta sina kitu mwaka huu ulipoanza, nikawa natafuta pa kuanzia sioni hatari.boss umeumwa nini hadi io hela imeisha
Pole broo, Mungu ni mwema, uwe mzima tena.Nimeumwa karibia mwaka mzima pamoja na wachawi walikuwa wanajaribu kunitoa duniani kupitia nilichokuwa naumwa basi ikawa tabu tupu, nmejikuta sina kitu mwaka huu ulipoanza, nikawa natafuta pa kuanzia sioni hatari.
We una stiress nini yaani umepitia comment zote toka mwanzo hadi mwisho hujaona picha ya nyumba kweli! Au ndiyo nyie mnaodandia treni kwa mbele?
Wakuu sorry nilisahau picha. Nimehaingaika kuedit post ili niweke hzi picha. Nmeshindwa, so naweka hapa pichaView attachment 1425543View attachment 1425544
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba yenyewe bado hata haijakamilika
Bado vitu vingi Mkuu
Hela lazima ukitoke Mkuu
Bado hilo ni pagare Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza na ramani ya msingi (floor plan). Kama unamudu chora mwenyewe. Hii namaanisha unataka vyumba vingapi, ukubwa gani, milango, madirisha nk. Usihangaike sana na muundo wa paa. Fundi bora akiona jengo ataamua iweje.DRILL = GRILL
kazi nzuri kaka, hongera kwa kuhamia kwako
huu uzi utakuwa msaada sana kwa wengine
mimi nina hiyo hela yako mara 4 lakini sijui nianzie wapi
hongera huo ndio uanaume, picha tafadhali! Nimepata kawivu ka maendeleo...nilikuwa na pesa kama hiyo ila imepukutika kwa kujihudumia nilipokuwa naumwa, nimeudhika sana, kuanza moja kuitafuta tena ni neema za kiMungu sasa!. Hongera sana kwa mara nyingine