NdegeMwema
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 250
- 200
Kuingia JF bila kupita jukwaa LA mapenzi Nimejaribu nikashindwa!!!
Hapana aisee..Kujisitiri ni pamoja na vitu kama hivyo..Mi kwangu hiyo ni ishara kwamba mtu hajiheshimuNashangaaga watu wanaotumia hiyo kama kiashiria ya mahusiano Yao kuwa mazuri.
Me I'll never do that kwa kweli
~Kujikomba kwa mtu asiyenitaka, NIMEJARIBU NIMESHINDWA..... ~Kushare na mtu demu mmoja huku najua NIMEJARIBU NIMESHINDWA..... ~Kutembea na mke wa mtu hata anihonge pesa NIMEJARIBU NIMESHINDWA..... Kumwingilia mwanamke kinyume na maumbile hata kama kataka mwenyewe NIMEJARIBU NIMESHINDWA..... Kujionesha kwa demu kama mi matawi ya juu wakati mi wa nguna bamia NIMEJARIBU NIMESHINDWA..... Kukubali kuwekwa king'asti na mwanamke NIMEJARIBU NIMESHINDWA..... haya ni yangu najua na we una yako si vibaya tukashare hapa, ila mwishoni unamalizia na kibwagizo NIMEJARIBU NIMESHINDWA.....
Unasubiri nini?
Who cares!!?~Kujikomba kwa mtu asiyenitaka, NIMEJARIBU NIMESHINDWA..... ~Kushare na mtu demu mmoja huku najua NIMEJARIBU NIMESHINDWA..... ~Kutembea na mke wa mtu hata anihonge pesa NIMEJARIBU NIMESHINDWA..... Kumwingilia mwanamke kinyume na maumbile hata kama kataka mwenyewe NIMEJARIBU NIMESHINDWA..... Kujionesha kwa demu kama mi matawi ya juu wakati mi wa nguna bamia NIMEJARIBU NIMESHINDWA..... Kukubali kuwekwa king'asti na mwanamke NIMEJARIBU NIMESHINDWA..... haya ni yangu najua na we una yako si vibaya tukashare hapa, ila mwishoni unamalizia na kibwagizo NIMEJARIBU NIMESHINDWA.....
hapana NMEJARIBU NIMESHINDWAJaribu tena hutashindwa.
Hahahaaaunataka mchi size gan? mana unaweza kutana na mpini nao ukaujaribu ukashindwa!!
Lazima lakini atakuwa keshafaudu!Kuwa na mwanaume mwenye kibamia NIMEJARIBU NIMESHINDWA"
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ,,,,,,,,,,,,,,,,,,ngoja nicheke tuuEndelea kupima tuuu, utakipata unachokitafuta
Mkuu jaribu tena unaweza,Kwenda uvinza nimejaribu nimeshindwa.
Nimecheka sana.Inaoneka umetanuka size ya shimo la choo cha gereza