Nimeishi Moshi, Bukoba, Lushoto aisee watanzania tuna ukarimu sana tofauti na tunavyoshambuliana kwa tofauti zetu

Aisee nimejifunza kitu kimoja kuhusu sisi watanzania baada ya kutembea mikoa tofauti na kuishi huko. Watanzania tunaweza kuwa tunatofautiana na kurushiana maneno mitandaoni juu ya sijui kabila fulani, hivi mkoa fulani hivi..ila kiuhalisia tunaishia kwa upendo sana.

Ok kiufupi, nimezunguka mikoa mingi..nimeishi Kagera aisee ilikua safi majirani na watu walikua na upendo sana japo sikua mwenyeji..nimeishi moshi big up sana kuna wajamaa waliiishi na mimi kama mdogo wao na hata kunisaidia naul kurudi dar nilipokua hali tete braza George Mramba big up popote ulipo ulinisaidia first day kiuaminifu sana kama mdogo wako. Unakaribishwa chakula tena unalizimishwa aosee wwtu wa mikoani big up sana ila na kiujumla watz safi sana.

Lushoto nimeishi lukozi napo ilikua safi sana watu walikua wakarimu vibaya mno kama wanakujua. Aisee watz sisi safi sana!

Hii ni mkuu. Tanzania tunatakiwa kushughulikia vitu viwili tu kwa sasa....uchawi(ushirikina) na unafiki (fitina).
 
Mkuu kumbe umeishi Lushoto (Lukozi) nipo hapa mwaka wa 2 sasa uenda nakufaham. Kuhusu ukarimu kuna mzee alishawahi kuniambia Tz ujamaa sana mpaka ukienda nchi za watu unaboreka.
Aisee nimejifunza kitu kimoja kuhusu sisi watanzania baada ya kutembea mikoa tofauti na kuishi huko. Watanzania tunaweza kuwa tunatofautiana na kurushiana maneno mitandaoni juu ya sijui kabila fulani, hivi mkoa fulani hivi..ila kiuhalisia tunaishia kwa upendo sana.

Ok kiufupi, nimezunguka mikoa mingi..nimeishi Kagera aisee ilikua safi majirani na watu walikua na upendo sana japo sikua mwenyeji..nimeishi moshi big up sana kuna wajamaa waliiishi na mimi kama mdogo wao na hata kunisaidia naul kurudi dar nilipokua hali tete braza George Mramba big up popote ulipo ulinisaidia first day kiuaminifu sana kama mdogo wako. Unakaribishwa chakula tena unalizimishwa aosee wwtu wa mikoani big up sana ila na kiujumla watz safi sana.

Lushoto nimeishi lukozi napo ilikua safi sana watu walikua wakarimu vibaya mno kama wanakujua. Aisee watz sisi safi sana!
 
Mkuu visa vya mara mojamoja havikosekan ila niamin watanzania ni watu poa sana aisee..mm bukoba nimeishi mpaka kule kyerwa wilaya mpya kipind ndo inaanza watu tu nimekutana nao huko ila daah aisee waliish na mm kama wananijua sana. Fulu upendo na kusaidiwa na watu baki ndo maana nasema watz sisi poa sana. Nimeishi tabora ilikua upendo, nimefika iringa isimani daah acha kabisa kote watu walikua na upendo sana mkuu..mtu mpo dini tofauti na kabila tofauti na ukichukulia we wakuja ila unaishi kama upo tu nyumbani dar.
Sijakaa maana Utu wa Mtu haujali Dini wala Kabila. Ila Huko Ulipita Hukuishi ndugu ulipita pita tu. Walioishi hasa Kikazi wanawajua Hao watu vizuri .

Wewe umekutana nao Mtaani Kama Raia tu kitu ambacho watanzania Wengi ukikutana nasi tunaonyeshaga Unafiki wa Upendo
 
Aisee nimejifunza kitu kimoja kuhusu sisi watanzania baada ya kutembea mikoa tofauti na kuishi huko. Watanzania tunaweza kuwa tunatofautiana na kurushiana maneno mitandaoni juu ya sijui kabila fulani, hivi mkoa fulani hivi..ila kiuhalisia tunaishia kwa upendo sana.

Ok kiufupi, nimezunguka mikoa mingi..nimeishi Kagera aisee ilikua safi majirani na watu walikua na upendo sana japo sikua mwenyeji..nimeishi moshi big up sana kuna wajamaa waliiishi na mimi kama mdogo wao na hata kunisaidia naul kurudi dar nilipokua hali tete braza George Mramba big up popote ulipo ulinisaidia first day kiuaminifu sana kama mdogo wako. Unakaribishwa chakula tena unalizimishwa aosee wwtu wa mikoani big up sana ila na kiujumla watz safi sana.

Lushoto nimeishi lukozi napo ilikua safi sana watu walikua wakarimu vibaya mno kama wanakujua. Aisee watz sisi safi sana!
Ruble kama Ruble ndio habari ya mjini
 
Ebu kajaribu zenji..uje utupe mrejesho..nenda huko vijijini halafu uanze kula mdudu ndio utajua tz hakuna amani bali utulivu.

#MaendeleoHayanaChama
yni huyu jamaa ni mdini kinoma yani nina mashaka na uwezo wako wa Akili ww
 
Sijakaa maana Utu wa Mtu haujali Dini wala Kabila. Ila Huko Ulipita Hukuishi ndugu ulipita pita tu. Walioishi hasa Kikazi wanawajua Hao watu vizuri .

Wewe umekutana nao Mtaani Kama Raia tu kitu ambacho watanzania Wengi ukikutana nasi tunaonyeshaga Unafiki wa Upendo
Kwenye kaz ndugu yangu ni katika kila eneo popote pale mambo ya fitina na kurogana na kuharibiana si wa maofisini mpaka huku akina sie wa iokote na kesho.
 
Wa huko Dar wamejaa roho mbaya na umaskini kiasi kwamba ukiwatembelea wanakuuliza unaondoka lini? Cha ajabu hapo umeshawabebea debe la mchele, maharage na mandizi yakutosha.
Sio roho mbaya ni hali ya maisha, usione mtu anakwambia mie nakula mara moja tu nikinywa chai basi mpaka jioni mmm hana kitu huyo
 
Watu safi watanzania, mimi nimekaa kahama, nmefanya biashara huko mbeya ubaruku, nimekaa kidogo iringa, nna rafiki zangu toka arusha na moshi kama ndugu. Nina rafiki zangu wakurya, aisee ukiwa na rafiki mkurya kama anakukubali jua anakukubali kweli hata kupgana kwa ajili yako anaweza.
Tanzania ni sehemu safi kabisa kokote unaishi. Na saa nyingine wakijua wewe ni mgeni unakuwa mashuhuri kila mtu anakufahamu na kukurefer kwa jina la clan yako. Kama unafanya biashara utaskia, pale duka la flani utapata
Ila mtwara mmm wao ukifika mgeni wanataka wale kwako, utasikia Mimi nitakupa nini wanyimi haswaa!
 
Naunga mkono hoja yako pal, Zawadi kubwa tuliyopewa watanzania inawezekana kuliko hata waafrika wengine ni Upendo na ukarimu, Watanzania ni wakarimu mno nahisi ndio sababu ya umaskini wetu.

Mwanzo nikienda vijiji vya mkoa wetu jinsi majirani wanavyotupokea na kutupa vyakula nilikia najua ni mkoa wetu ndio wakarimu sana kumbe ni karibu mikoa yote. Mikoa yote niliyokua naishi nimeshuhudia upendo na ukarimu wa watanzania tena sehemu hizo unakuta hauna ndugu kabisa ila Unaishi kwa amani. Eg, Usukumani, Unyaturuni, Wandengereko, Wachaga/Masai nimekaa kwa raha sana, Wanyakyusa pia wakarimu sana asee..

Zanzíbar watu ni wakarimu sana ghalama ya kupata kitu chochote kwa Shamba ni kusema "naomba" Shida yao sometimes udini unawameza kiasi but nao wakarimu sana.

Dar ndio wwtu wanaishi kama magaidi ukipanda gari kila mtu anamuona mwenzake Mwizi, hata ukiulizia njia hasa maeneo ya Ubungo, kino,temeke, ilala Ndio kwanza mtu anakutafutia chance ya kukuibia/tapeli.
Dar nikama kokoro linalobeba kila kitu, labda huko nje ya mji wanakoishi wazaramo- manerumango huko, lakini uende mwenge mwenge ,ubungo masaki utegemee kupokewa kama mfalme uhuuu sahau labda ndugu yako ha ha ha !
 
Back
Top Bottom