Nimeipenda falsafa ya Rais Samia ya Watendaji kutumia akili badala ya nguvu. Je, CCM wamemuelewa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,387
142,632
Nimeielewa sana falsafa ya Rais Samia kuwataka watendaji wote kutumia akili badala ya nguvu wakati wa kutekeleza majukumu yao ya kuwatumikia wananchi.

Kwa mfano kumfukuza Tundu Lissu bungeni ni matumizi ya nguvu badala ya akili.

Kumsimanga Prof Assad ni matumizi ya nguvu

Kuwaingiza akina Nusrat Henje bungeni ni matumizi ya nguvu badala ya akili.

Nk.....nk....nk!

Hakika awamu ya 6 na mambo mapya hakuna kuoneana.

Maendeleo hayana vyama!
 
Unakosea na hiyo slogan yako hapo mwishoni.

Sasa itabidi mje CHADEMA mchukue tena mawaziri kwa sababu ndiko kwenye watu wenye kutumia akili. Huko CCM mmejaa watu wanaofikiri kwa matumbo ndiyo maana mama anawachana live
 
Unakosea na hiyo slogan yako hapo mwishoni.

Sasa itabidi mje CHADEMA mchukuebtena mawaziri kwa sababu ndiko kwenye watu wenye kutumia akili. Huko CCM mmejaa watu wanaofikiri kwa matumbo ndiyo maana mama anawachana live
Wenye akili walishaondoka Chadema!
 
Mama anakimbiza jambazi kimya kimya, nimesikia akielezea umuhimu wa kuwa na Diplomasia pana, kwamba tunahitaji kwenda na wenzetu ili tufike mbali, sio tunaenda wenyewe, mama anaongea mambo mengi sana ya msingi, kwa mara ya kwanza nimepata hamu ya kusikiliza speech za Kiongozi wa Nchi.
 
Falsafa ni nzuri lakini kwa jinsi hii tutarudi mwenye nguvu mpishe na mambo mengi yatasimama, labda kama anazuga tu.
 
MATAGA bana. Yaani mmeshachanganyikiwa kabisa aisee!!
 

Ukinizingua Tunazinguana - Mh SSH.
 
Jiwe alikuwa na walinzi kama 100 hivi na masilaha ya kivita ila mama naona walinzi watatu tu wanawake wawili na msela mmoja.
 
Wewe ni mmoja wao unaouliza kama wameelewa.
 
I am sorry CM hawana akili ya kuyaona hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…