Kwanini Rais Samia anatumia nguvu kujitangaza badala ya kutatua shida za wananchi?

Bullshit

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,300
1,495
Sio siri Rais hana mvuto kabisa kwa Wananchi na mbaya zaidi 2025 hana sera.

Hili si jambo geni machoni kwa watu kila kona kuna mabango ya kumsifia mama.

Kuna vikundi mbali mbali zimeanzisha kumpigia Rais kampeni kabla ya uchaguzi (Ongea na mama, Rafiki wa Samia nk)

Wote tunafahamu ni jinsi gani nguvu kubwa inatumika kumsifia Samia kiasi kwamba mpaka inakera hasa watu wana CCM.

Kwanini nguvu zote hizo zinazotumika kumsafisha asizitumie kutatua changamoto zinazomchafua.

Anapoteza Fedha nyingi kukubalika badala ya kuamishia Fedha hizo kwenye Miradi ili akubalike.
 
Kwa kweli hana uwezo kuna nyuzi tumeshauri aishie 2025 itamsaidias sana aachane machawa wanampoteza.
 
sababu kubwa hakubaliki kabisaaa, na ni dhambi kwa mungu kumchagua mara ya pili, mimi ni muislamu wa sala 5 ndio ninaesema
 
Sio siri Rais hana mvuto kabisa kwa Wananchi na mbaya zaidi 2025 hana sera.

Hili si jambo ngeni machoni kwa watu kila kona kuna mabango ya kumsifia mama.

Kuna vikundi mbali mbali zimeanzisha kumpgia Rais kampen kabla ya uchaguzi( Ongea na mama, Rafiki wa Samia nk..).

Wote tunafaham ni jinsi gani nguvu kubwa inatumika kumsifia Samia kiasi kwamba mpaka inakera hasa watu wana CCM.

Kwanini nguvu zote hizo zinazotumika kumsafisha asizitumie kutatua changamoto zinazochafua.
Bado hujasema Hadi useme vinginevyo utakereka sana Kwa sababu hakuna sifa anayopewa ni ya uongo kama unaijua niwekee hapa vinginevyo chuki zinakusumbua.

Samia hana Mpango wa kutatua shida za individuals ila za jamii maana za individuals hakuna anaeweza kuzimaliza
 
Bado hujasema Hadi useme vinginevyo utakereka sana Kwa sababu hakuna sifa anayopewa ni ya uongo kama unaijua niwekee hapa vinginevyo chuki zinakusumbua.

Samia hana Mpango wa kutatua shida za individuals ila za jamii maana za individuals hakuna anaeweza kuzimaliza

Pole sana
 
nadhani uchawa unalipa sana ndiomaana wameamua kuwekeza huku badala ya kwenye maendeleo kimsingi mambo kibao yamesimama ila anaona poa tu kazi yake kubwa teua tengua baaasiiiii kamaliza , uliona wapi rais anatajwa kila hotuba eti katoa hela katoa hela yaani kuna vi element vya mwendazake alitakiwa avikemee kabisa na asitabirike asifanye kazi kwa remote ya kuleeee mbele ya chalinze.
 
Back
Top Bottom