Nimeikuta sehemu

Nimeikuta sehemu

Mtu wa hivyo hana analolificha, wewe kama mtu mzima unaelewa fika kuwa kuna yanayoendelea ndio maana mtu anafanya hivyo, huko kutaka kuprove ndio kujitaftia sonona.

Binafsi mwanamke wangu akishakuwa na dalili hizo za kuzima/kuflight simu huwa naona hapa sio kwa kuwekeza tena upendo, nakaa kijanja ila sitomkagua.

Sijaoa
Ooh sawa mkuu
 
Kupasha kiporo..!!! Si unajuwa kupasha kiporo wala hakuihitaji moto mwingi..!! Hata kama wewe hutaki, mwenzio akikuruka na li sms lake la kupasha kiporo unadhani mwenzio ataelewa?
Tukiachana tumeachana wala hata salamu yako sitaki
Kila mtu apambane na hali Yake, nasonga mbele kama injili.

Ex anapataje huo uhuru wa kubwabwaja sms anitumie?
Ina maana unakuwa umemuendekeza.
 
Achana na wapenzi kuna wapuuzi ukiwapa simu lazima waingie katika gallery na sms sasa sijui wanatafuta nini aisee?
Hiyo ni case nyingine


Kwa kweli huwa nakereka hata mimi... Mpenzi wangu nitampa afanye chochote ila mtu mwingine hapana Kwa kweli.

Mtu ni rafiki tu ameazima simu atumie dakika, mara anaanza kupekua simu, pekua gallery, anaanza kusoma Convo zako.. hii ni aina na uchizi.
 
Je wapenzi wanapaswa kuwa na uhuru, kila Moja na simu ya mwenzake?
Jibu "Ndiyo " au "Hapana"
Kwanini?

Faida zake ni zipi?
Hasara zake ni zipi? View attachment 2784316
Inategemea. Kama ni muaminifu hata ukimuachia access ya simu yako mpenzi ni sawa tu ila kama penda penda ni bora mwenzako asiwe na access ya simu yako.
 
Back
Top Bottom