Nimeikuta sehemu

Very simple and it’s just basic common sense.

Kama huna la kuficha kwenye simu yako basi pia hutokuwa na shida mpenzi wako akiishika simu yako.

Huna la kuficha, huna baya ulifanyalo kwenye hiyo simu, sasa kiroho dunda cha nini mpenzi wako akiishika simu yako?

You share far more intimate things like emotions, bodily fluids, bad breath, etc., but when it comes to a stupid phone, it’s a no no?

Come on now….I ain’t no Boo Boo the Fool.
 
Ni sahihi.
Mimi nashika simu na ninakagua haswa. Yaani nakagua kweli kweli na vile babe wangu mshamba wa simu anajua akifuta kitu ndio kimefutika mimi naenda hadi kwenye bin kukagua. Kwa kweli nakagua uwiii na sina mpango wa kuacha.

Hahahaha na siku moja moja namsaidia kupost picha yake akiwa na familia yake ambayo ndio sisi. Naweka status na ka caption fulan kazuri ka heshima. Anakuja kuona anacheka tu. Bila kusahau kumbadilishia profile picture heheheee leo namweka prince mwezi ujao princes. Yeye anakuwa hata hajui ni profile gani ipo kwenye whatsap yake mpaka ajione kwenye simu yangu.

Kwakweli nakagua simu nakutana na matukio wakati mwingine nawasha moto balaa na hiyo inamrudisha kwenye mstari kabla hajapotea zaidi.

Nyongeza: nanusa hadi nguo sitaki ujinga.
 
Seconded
 
Hongera mkuu,
 
Kuna ka pepo tu ka kuangalia DM Instagramna Facebook, WhatsApp Chats, yaani utajikuta tu😁😁😁😁😁 mimi sirudii tena aiseee nilichokuta kwenye simu ya Mr 🙌🙌🙌🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…