Nimeikubali ACT, sinilaumu bilashi

Nimeikubali ACT, sinilaumu bilashi

muungano wa kuiondoa ccm madarakani? au kuikomboa nchi? acheni njaa kila mtu atumie akili zake na maarifa kujiletea maendeleo binafsi katika ngazi ya kaya, baadae taifa kwwa ujumla, watoto wako wanalala njaa unawaza kuiondoa ccm madarakani. jitambueni.

Nazani tunafahamu kilichotokea Kenya when walipokuwa wanabadisha kutoka uongozi mbovu kwenda kwenye uongozi bora, ilikuwa kama kumnyonya kuku manyoya wakati yu hai au kuchuna ngozi ya ngome wakti yu hai
Ni kitu kilekile kwa watanzania kuitaka kuitoa CCM madarakani ambao ni sawa na kumchuna ngozi ngombe au simba wakati unacheka(it will kill u) this what act they are trying to do or they think,they can do
 
hata rais wetu Kikwete hajui,,hebu tusaidie wewe mkuu.

Sasa kama Rais hajui na nyie mnaoikubali ACT mmekuja na jibu gani mpaka mnaamini kua ACT ni bora?au mnataka kutatua nini kilichoshindikana na vyama vingine?tuambieni tuje wote huko ACT ili tusilaumu mabilashi na sisi.
 
Wakuu nimefikiria sana na kutafakari nimeamua kuchukua maamuzi magumu.Niameamua kuhamia ACT chama "makini"!ninaombeni kusilimishwa mapema iwezekanavyo ili kukidhi vigezo vya chama "makini".Pia kwa kuwa mimi sio tapeli,naomba nipewe training ya utapeli ili niendani na kasi ya chama changu kipya!Mimi ni mnyiramba sio "Muha" je hapa itakuweje wana "makini" wa ACT!

Kikubwa ni kwamba chama makini kina experience kubwa ya kuuza majimbo na kata,naombeni uzoefu,huku Iramba kuna dili ambayo CHADEMA inaipuuza,nipeni deal masela ili tu-make mahela
 
Hahahaha kijana wa Rage wewe unaleta matata sasa.....
 
Wakuu nimefikiria sana na kutafakari nimeamua kuchukua maamuzi magumu.Niameamua kuhamia ACT chama "makini"!ninaombeni kusilimishwa mapema iwezekanavyo ili kukidhi vigezo vya chama "makini".Pia kwa kuwa mimi sio tapeli,naomba nipewe training ya utapeli ili niendani na kasi ya chama changu kipya!Mimi ni mnyiramba sio "Muha" je hapa itakuweje wana "makini" wa ACT!Kikubwa ni kwamba chama makini kina experience kubwa ya kuuza majimbo na kata,naombeni uzoefu,huku Iramba kuna dili ambayo CHADEMA inaipuuza,nipeni deal masela ili tu-make mahela

Unataka kusaliti kanisa lako la CHADEMA uende kuharibu chama cha wasomi na wazalendo? Wewe bakia na ubaguzi wako wala hakuna atakae kupokea ACT sio ya vilaza na wabaguzi. Eti mimi mnyirambaWAKATI wewe MCHAGA wa marangu. Teh teh teh pole sana kwa vipropaganda vya kike.
 
Mnayasema maccm kwa mipasho kumbe na wewe unamipasho kama demu?
 
Kamuone mwigulu yeye ndo mwasisi wa act na zzk ni symbol tu ya kukitumia kusambaratisha vyama vya upinzani esp chadema.so muone huyo murderer akupe mafunzo ya kung'oa meno ya watu na kutesa watu bila hatia.
 
Chama changu kipya na bendera yenye nyota.tunaanzia msikitini kwnd kwa watanzania wote mtupokee
 
Halafu naomba kuuliza hivi wewe umeshaolewa tena baada ya kuachika? Teh teh teh nahisi umemmic mumeo ndio maana unahangaika kama kuku anaetaka kutaga.
 
attachment.php
 
mkuu napata wasiwasi pia kwamba utahamia yeboyebo
 
mkuu usikubali kuingia kwenye mtego wa matusi.hata ukitukanwa; wewe jitahidi kujikita kwenye mambo unayodhani ni ya msingi.na wewe ukianza matusi, itakuwa inaturudisha kule kule.jiepushe sana kuingia kwenye mtego huo.

abakorakamo ana matatizo
 
Last edited by a moderator:
Ukiangalia juu hapo nimefuta kauli yangu baada ya kuisoma vizuri.sorry ndugu yangu.kuna ushauri hapo juu.naona ila una matusi mazito!! Samahani sana nimekukwaza.

pamoja kamanda,futa post niliyoinukuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom