Nimeikubali ACT, sinilaumu bilashi

Nimeikubali ACT, sinilaumu bilashi

wanakutukana kwasababu unaleta pumba
  1. watu wanapambana kutoa nchi kwenye mikataba mibovu, wewe unapigania ubunge wa Zitto
  2. watu wanatafuta kuitoa taifa kwenye ufisadi uliopindukia, nyie mnatafuta kuwa mwenyekiti wa chadema
  3. watu wanapambana na katiba mpya , wewe unaleta mashairi yaliyojaa kejeli
  4. watu wapanda uzalendo kwa watanzania wewe unaleta udini

kwa mambo hayo lazima wakutukane

ushauri wangu kwako Pambana na CCM na sio Chadema hiyo kazi CCM wameshinda who are you to win this war ........................we need changes and not chama

if you think you need to be transparency that is not the right track for you because mpaka sasa washashindwa kutoa jina la founder

hicho sio chama cha majambazi, sio genge la wauni, sio wauza unga , watanzania tunahitaji kuwajua waanzilishi wa chama chenui this is how transparency start

hayo yote huwezi kusema kwa kueleweka hadi utukane?????
 
tusi alipo hapo pumba ni mabaki ya nafaka, kama wewe unajua ukweli na unaamua kuupindisha makusudi kwa maslai binafsi, watu wanamna hiyo kwwenye vijiwe huwa tunawaita waongea pumba
 
utajitahidi sana kukipigia debe chama CHAMA CHENU CHA KIISLAM lakini hakita kuja kuwa na mvuto kamwe!! Tangia lini msaliti akawa na mvuto kwa jamii??then waambie wenzio wangeweka na mwezi kabisa hapo kwenye bendera ,nyota peke yake haitoshi.BIG NO!! TO ISLAMIC PART 'ACT'
utakuwa taahira wewe. unamaanisha na akina samso mwigamba na akina Dr. kitila mkumbo leo hii wamesilimu? we kimsukule cha kibavicha njaa zitakuuwa. tatizo lako umekazania kunywa mbege tu hata hujiwezi kifikira.
 
View attachment 146559

Fikiri upime sana, sinilaumu bilashi,
Fikiri pasi sonona, uwe bora mtumishi,
Fikiri na tulizana, katu usiende joshi,
Fikiri hafidhina, njia zako hazitoshi.

Fikiri upate jua, sikia we kuku maji,
Fikiri waja gundua, dunia yote si maji,
Fikiri waja tambua, taifa lakuhitaji,
Fikiri waja ng'amua, barafu pia ni maji.

Rauka raia mwema, uvivu si jambo jema,
Rauka hima hima, chombo chaenda mrama,
Rauka ewe mjima, konde limejaa kima,
Rauka acha koroma, kujenga nchi lazima.

Rauka jionee, nchi ilivyozizima,
Rauka utembee, uone tulipo kwama,
Rauka jijengee, ule mji wa waroma.
Rauka ujiombee, kwa mola wetu Karima.

Tazama kule angani, nambie waona nini?
Tazama tena angani, pana nyota si utani,
Tazama ACT angani, nyota ya matumaini,
Tazama nyota angani, pigo la nyoka nchini.

Tazama upate jua, CCM ni shetani,
Tazama utagundua, pepo hatoi shetani,
Tazama waja ng'amua, mapepo yapo kazini,
Tazama waja tambua, ACT ni tumaini.

Wino wa zafarani,Umeisha si utani,
Ya manjano zafarani, hamna tone chupani,
Kuandika natamani, wino sinao jamani,
Loo!!! niko tamatini,wana jamvi kwahereni

Njano5.
0784845394.

Huyu bila shaka atakuwa ametumwa na Zzk kuifanyia promo hii kitu.
 
tusi alipo hapo pumba ni mabaki ya nafaka, kama wewe unajua ukweli na unaamua kuupindisha makusudi kwa maslai binafsi, watu wanamna hiyo kwwenye vijiwe huwa tunawaita waongea pumba

ipo siku mtagundua kuwa....................
 
Nchi yetu haitakombolewa na wingi wa vyama vya siasa,ni uroho wenu wa madaraka,siasa na umarufu vinawasumbua tu.Wapinzani wote mnapaswa kujiunga pamoja ili mtengeneze cabinet imara ya kuking'oa ccm kama kweli mna nia ya kutukomboa,tatizo mnawaza RUZUKU na MISAADA mwisho vyama vitazidi idadi ya watanzania.Hivi hamuoni jinsi wananchi wanavyowapotezea?wapiga kura ni wengi kuliko wanavyama,hapo hampaoni?

muungano wa kuiondoa ccm madarakani? au kuikomboa nchi? acheni njaa kila mtu atumie akili zake na maarifa kujiletea maendeleo binafsi katika ngazi ya kaya, baadae taifa kwwa ujumla, watoto wako wanalala njaa unawaza kuiondoa ccm madarakani. jitambueni.
 
View attachment 146559

fikiri upime sana, sinilaumu bilashi,
fikiri pasi sonona, uwe bora mtumishi,
fikiri na tulizana, katu usiende joshi,
fikiri hafidhina, njia zako hazitoshi.

Fikiri upate jua, sikia we kuku maji,
fikiri waja gundua, dunia yote si maji,
fikiri waja tambua, taifa lakuhitaji,
fikiri waja ng'amua, barafu pia ni maji.

Rauka raia mwema, uvivu si jambo jema,
rauka hima hima, chombo chaenda mrama,
rauka ewe mjima, konde limejaa kima,
rauka acha koroma, kujenga nchi lazima.

Rauka jionee, nchi ilivyozizima,
rauka utembee, uone tulipo kwama,
rauka jijengee, ule mji wa waroma.
Rauka ujiombee, kwa mola wetu karima.

Tazama kule angani, nambie waona nini?
Tazama tena angani, pana nyota si utani,
tazama act angani, nyota ya matumaini,
tazama nyota angani, pigo la nyoka nchini.

Tazama upate jua, ccm ni shetani,
tazama utagundua, pepo hatoi shetani,
tazama waja ng'amua, mapepo yapo kazini,
tazama waja tambua, act ni tumaini.

Wino wa zafarani,umeisha si utani,
ya manjano zafarani, hamna tone chupani,
kuandika natamani, wino sinao jamani,
loo!!! Niko tamatini,wana jamvi kwahereni

njano5.
0784845394.

olakoze neeza, olakoze chaane chaane!!
 
nilifikiri una akili timamu kumbe na wewe ni kilaza, apambane na ccm atajiletea maendeleo saa ngapi? ndio mana kazi yenu kuandamana hamjitambui vilaza nyie. kalimeni.
wanakutukana kwasababu unaleta pumba
  1. watu wanapambana kutoa nchi kwenye mikataba mibovu, wewe unapigania ubunge wa Zitto
  2. watu wanatafuta kuitoa taifa kwenye ufisadi uliopindukia, nyie mnatafuta kuwa mwenyekiti wa chadema
  3. watu wanapambana na katiba mpya , wewe unaleta mashairi yaliyojaa kejeli
  4. watu wapanda uzalendo kwa watanzania wewe unaleta udini

kwa mambo hayo lazima wakutukane

ushauri wangu kwako Pambana na CCM na sio Chadema hiyo kazi CCM wameshinda who are you to win this war ........................we need changes and not chama

if you think you need to be transparency that is not the right track for you because mpaka sasa washashindwa kutoa jina la founder

hicho sio chama cha majambazi, sio genge la wauni, sio wauza unga , watanzania tunahitaji kuwajua waanzilishi wa chama chenui this is how transparency start
 
utakuwa taahira wewe. unamaanisha na akina samso mwigamba na akina Dr. kitila mkumbo leo hii wamesilimu? we kimsukule cha kibavicha njaa zitakuuwa. tatizo lako umekazania kunywa mbege tu hata hujiwezi kifikira.
mkuu muongezee na viroba vya gongo.
 
wanakutukana kwasababu unaleta pumba
  1. watu wanapambana kutoa nchi kwenye mikataba mibovu, wewe unapigania ubunge wa Zitto
  2. watu wanatafuta kuitoa taifa kwenye ufisadi uliopindukia, nyie mnatafuta kuwa mwenyekiti wa chadema
  3. watu wanapambana na katiba mpya , wewe unaleta mashairi yaliyojaa kejeli
  4. watu wapanda uzalendo kwa watanzania wewe unaleta udini

kwa mambo hayo lazima wakutukane

ushauri wangu kwako Pambana na CCM na sio Chadema hiyo kazi CCM wameshinda who are you to win this war ........................we need changes and not chama

if you think you need to be transparency that is not the right track for you because mpaka sasa washashindwa kutoa jina la founder

hicho sio chama cha majambazi, sio genge la wauni, sio wauza unga , watanzania tunahitaji kuwajua waanzilishi wa chama chenui this is how transparency start
Hivi Chadema mmeacha lini udini na ukabila?
 
nilifikiri una akili timamu kumbe na wewe ni kilaza, apambane na ccm atajiletea maendeleo saa ngapi? ndio mana kazi yenu kuandamana hamjitambui vilaza nyie. kalimeni.

unafanya nini uku(jf) kama sio upinzani fighting against upinzani, Muda huu ungetumia kulima au kutafakari rasimu ya katiba ungelisaidia taifa
 
muungano wa kuiondoa ccm madarakani? au kuikomboa nchi? acheni njaa kila mtu atumie akili zake na maarifa kujiletea maendeleo binafsi katika ngazi ya kaya, baadae taifa kwwa ujumla, watoto wako wanalala njaa unawaza kuiondoa ccm madarakani. jitambueni.

uwezi kukomboa nchi kwa kuwa na mawazo ya kidini na kiha
 
muungano wa kuiondoa ccm madarakani? au kuikomboa nchi? acheni njaa kila mtu atumie akili zake na maarifa kujiletea maendeleo binafsi katika ngazi ya kaya, baadae taifa kwwa ujumla, watoto wako wanalala njaa unawaza kuiondoa ccm madarakani. jitambueni.

unawezaje kuikomboa nchi mbele ya ccm?mkuu waza kwanza kabla hujasema,pia fatilia siasa za nchi yetu vizuri.unawezaje kuikomboa nchi katikati ya ma IPTL,ma DOWANS,?acha uvivu mkuu.jitume kutafakari.
MKUU,kwanini TZ ni nchi masikini?NAOMBA JIBU MKUU.
 
hata rais wetu Kikwete hajui,,hebu tusaidie wewe mkuu.
 
kuweka wazi mambo ya chama changu ni pamoja na kuvikosoa vyama vingine hata watanzania wavione havifai.
Msajili alitakiwa akipe usajili wa kudumu leo hii ACT tarehe mosi April ili iwe ndio sikukuu yenu. Ili kila tarehe MOSI APRIL muwe mnasherehekea siku ya kuzaliwa ACT.
Ingependeza sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom