Nimeikubali ACT, sinilaumu bilashi

Nimeikubali ACT, sinilaumu bilashi

Kwani itanichukua mda gani kupata sigda mwanachama mpya,au kuna mihuri ya sigda mmechonga.

na padr anaongoza chama cha dini gani mkuu.. safu ya chadema imejaa wachaga tupu.. vikao vya chadema vinaongozwa kwa lugha ya kichagga, makao makuu ya chadema ufipa kuna.kilabu cha mbegge.
 
Kwani itanichukua mda gani kupata sigda mwanachama mpya,au kuna mihuri ya sigda mmechonga.

Ukiwa na sijda, ukivaa Rozari unaruhusiwa kuwa mwanachama ushoga ndio hatuutaki bakini huko huko kwenye mirengo yenu.
 
mkuu hata kigoma wenyewe wameshawashtukia gea waliongilia ni ya ukabila na udini baadala ya kupigana dudu ccm wao wanataka kupambana na cdm.poor act(agriculture council of tanzani)

Usilolijuwa litakusumbuwa act tutaendelea kutowa sera zetu ma wa tz wanaendelea kutukubali ss mikowa yote ya tz act inapatikana matusi mwiko uzalendo mdio sera yetu viva act viva
 
nenda kaulizie ruzuku pale ufipa uone padr atakavyokutoa mkuku... utafukuzwa kama mbwa hahaha

Leta mchanganuo wa Mil 400 mlizopewa na Asha Rose Migiro last two months kwanza hapa Lumumba. Au nimtaje aliyepewa Cheque?
 
Usilolijuwa litakusumbuwa act tutaendelea kutowa sera zetu ma wa tz wanaendelea kutukubali ss mikowa yote ya tz act inapatikana matusi mwiko uzalendo mdio sera yetu viva act viva

Mnatoa sera kwa ufadhili wa CCM na kwenye blanketi la Uislam?
 
Leta mchanganuo wa Mil 400 mlizopewa na Asha Rose Migiro last two months kwanza hapa Lumumba. Au nimtaje aliyepewa Cheque?

mtaje.. act hakina mfadhili yoyote.mfadhili wake ni watanzania wote
 
Leta mchanganuo wa Mil 400 mlizopewa na Asha Rose Migiro last two months kwanza hapa Lumumba. Au nimtaje aliyepewa Cheque?

hata tunajua basi mkuu.sisi tunanunuliwa bundle tu,tunaambiwa chama hakijakua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom