Wakuu nimefikiria sana na kutafakari nimeamua kuchukua maamuzi magumu.Niameamua kuhamia ACT chama "makini"!ninaombeni kusilimishwa mapema iwezekanavyo ili kukidhi vigezo vya chama "makini".Pia kwa kuwa mimi sio tapeli,naomba nipewe training ya utapeli ili niendani na kasi ya chama changu kipya!Mimi ni mnyiramba sio "Muha" je hapa itakuweje wana "makini" wa ACT!
Kikubwa ni kwamba chama makini kina experience kubwa ya kuuza majimbo na kata,naombeni uzoefu,huku Iramba kuna dili ambayo CHADEMA inaipuuza,nipeni deal masela ili tu-make mahela
chadema ni chama cha ubaguzi wa kidini, kikabila na kikanda,, usifikiri vyama vyote vina ubaguzi kama chadema..
safu nzima ya uongozi wa chadema ni wachaga na wakaskazin.. ruzuku yote ya chadema inaishia kanda ya kaskazini.. muasisi mkuu wa udini na ukabila ni MZEE EDWIN MTEI ALIESEMA HATAKI KUMUONA MUISLAM AU MTU YOYOTE KUTOKA KANDA TOFAUTI NA KASKAZINI KWENYE UONGOZI WA CHAMA CHAKE. MZEE MTEI ANATAKA CHADEMA IONGOZWE NA WACHAGGA TU