Nimeichoka TBC1 ndani ya DSTv

Nimeichoka TBC1 ndani ya DSTv

Kila mtu na mtazamo wake, mimi pia nina Dstv lkn TBC kila nikiweka nipate habari za nyumbani, naambiwa "no service" nasikitika kuikosa, ninyi mnaipata hamtaki kuiona.
mi pia TBC haisomi.Yani wamekata chanel zote .Ila hata ingebaki TBC mimi siwezi kupoteza muda kuangalia.Bora niende kuzurura kitaa.
 
Huko nyuma niliwahi kuchukua miaka nenda rudi bila kuangalia TBC1 wala TVT… ITV ndo mpango mzima.

Toka 'siasa' ianze ndani ya ving'amuzi, TBC ni kero mno. Unamka imo…unashida imo…unalala imo…

Ni kero sana kwangu hii televisheni.

Ikifika wakati wa Habari utachoka ufe…
Mkuu mi naangalia channel 158 na 182 tu
 
Back
Top Bottom