Nimeichoka TBC1 ndani ya DSTv

Nimeichoka TBC1 ndani ya DSTv

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,606
Huko nyuma niliwahi kuchukua miaka nenda rudi bila kuangalia TBC1 wala TVT… ITV ndo mpango mzima.

Toka 'siasa' ianze ndani ya ving'amuzi, TBC ni kero mno. Unamka imo…unashida imo…unalala imo…

Ni kero sana kwangu hii televisheni.

Ikifika wakati wa Habari utachoka ufe…
 
TBC ni sawa na RT ya Russia ipo kwa ajili ya kuisema marekani mapungufu yake tu haisemi mazuri yake hata kidogo, ndivyo ilivyo kwa TBC iko kwa ajili ya kuusema upinzani vibaya na kuisifia ccm.
 
Kusema ukweli tangu chanel zimeondolewa sijawahi tizama taarifa ya habari zaidi ya napata kwenye radio tu,
ni BBC, na vinginevyo ningekuwa nauwezo ningeinyonfoa na huyo tu kwenye dstv yangu
 
Dah nkajua pekee angu dah, yaan kwann hawarudishi zingine?
 
Huko nyuma niliwahi kuchukua miaka nenda rudi bila kuangalia TBC1 wala TVT… ITV ndo mpango mzima.

Toka 'siasa' ianze ndani ya ving'amuzi, TBC ni kero mno. Unamka imo…unashida imo…unalala imo…

Ni kero sana kwangu hii televisheni.

Ikifika wakati wa Habari utachoka ufe…
Hunizidi mimi mkuu!! Mpaka sasa Tv yangu imeshona buibui kwa kutowashwa sababu ya hili li TBC!!
 
Kila mtu na mtazamo wake, mimi pia nina Dstv lkn TBC kila nikiweka nipate habari za nyumbani, naambiwa "no service" nasikitika kuikosa, ninyi mnaipata hamtaki kuiona.
 
Huko nyuma niliwahi kuchukua miaka nenda rudi bila kuangalia TBC1 wala TVT… ITV ndo mpango mzima.

Toka 'siasa' ianze ndani ya ving'amuzi, TBC ni kero mno. Unamka imo…unashida imo…unalala imo…

Ni kero sana kwangu hii televisheni.

Ikifika wakati wa Habari utachoka ufe…
hauko peke yako. mimi naangalia KTN ya Kenya. BBC na hata Bukedde japo sijui kiganda. Dr. Bashiru au Mkuu wa halmashauri fulani au ngoma zetu.zamadamu siangalii hata watoe mafuta bure
 
Back
Top Bottom