Nimeibiwa simu yenye thamani ya Tshs laki 6

Inapatikana kama umeenda kituo kikuu cha police
 
Kaka naomba niunganishe nae nijue aliyemsaidia please
Unaona hata usijgizi hauji
 
Move on mkuu.
Laki sita ni ndogo sana.

Huenda mwizi kaiba akaiuze amtibie mama yake mgonjwa.
Ama ameenda kulipia mahari ili achukue jiko
Wameniibia kipindi ambacho nimefulia kweli
 
Umenipa bongee la ushauri

Nimewasiliana na polisi wa mkoani
 
Police wa kibongo ni wavivu mno simu kupatikana inawezekana ila hawako tayari kufanya kazi
 
Watajuaje ni kweli umeibiwa, maybe tuseme umegombana na mtu sasa kisa unajua imei za simu yake ukafanya kumkomoa kwa kushtaki kwa tcra kuwa simu yako imeibiwa?
Najua utaleta kisingizio cha line/namba ya simu ila hilo achana nalo, nipe sababu nyngn

Hapo tcra kutakuwa na mfumo(app) au utaratibu wa maombi kwa njia ya barua kuomba kufunga hiyo simu
ktk barua utaambatanisha namba ya simu na namba ya nida na imei
kumbuka mifumo ya nida ina picha ya muhusika mmiliki wa simu na simcard ijiyopotea. Wakiridhika na taarifa wanaifunga hiyo simu
kwa utaratibu huu, wizi wa simu, laptop na zile tv kubwa utafika kikomo
endapo mtu akidanganya kutakuwa na hukumu yake
endapo mtu akichezea imei na kuifungua sheria na hukumu zipo
 
Jamaa hao Watakutafuta ikiwa wana maslahi na ww au aliyewatuma.

Watakula hiyo hela.. na mara nyingi ni kama umewapa DILI.. wanamtafuta mwizi wanakula kwake na kwako kimya kimya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…