Labda alinunua simu ya wizi lakini mwizi husika aliyeiba hawezi kukupa hiyo gharama na faida juu,Wapo watu wengi waishapata simu hasa Ikwa kui track....!!!
Huyo mwizi wako atarudisha simu, atakupa na pesa, atatoa na pesa ya Police, inategemea na Maelezo Yako Police.
Wengine huandika amepoteza
Simu ya 600,000..... Pia alipotexa milioni 2 ikiwa pamoja na hiyo simu....! Hapo gharama zako zitarudi, simu itarudi, na posho ya Askari ipo humor humo....!
Kuna jamaa yangu simu yake iliibiwa Dar akaenda kuipata Bukoba, na gharama zilirudi na faida juu.
Tatizo sio kunishuku.Mkuu, hivi tukikushuku kuwa MWIZI wa simu ya maasai dada tutakuwa tumekosea?
Atumie watu wengine sio maaskari, police wenyewe wahusike kama tu mwizi hana maokoto nkMkuu usijichanganye kuwapa polisi hela waitrack, labda kama umeamua kuwapa pesa ya bure, nilipoteza simu kuanzia January mwaka huu sijapata ni kiswahili tu napigwa mpaka nmeshakata tamaa, wanazingua sana hawa mother far car.
Yeah mkuu, ila polisi wa Tanzania ni hatari sana Kwa usalama wa mali za raia.Atumie watu wengine sio maaskari, police wenyewe wahusike kama tu mwizi hana maokoto nk
Hii nayo ni mbinu ya polisi ili upate matumaini utoboke kibunda.... Haya mambo ukiyasikiliza huwezi elewa ila yakikupata alafu ukachukulia ulivyoeleza utalia mara 5 kuliko ungepotezea upotevu wa hiyo simu.Wapo watu wengi waishapata simu hasa Ikwa kui track....!!!
Huyo mwizi wako atarudisha simu, atakupa na pesa, atatoa na pesa ya Police, inategemea na Maelezo Yako Police.
Wengine huandika amepoteza
Simu ya 600,000..... Pia alipotexa milioni 2 ikiwa pamoja na hiyo simu....! Hapo gharama zako zitarudi, simu itarudi, na posho ya Askari ipo humor humo....!
Kuna jamaa yangu simu yake iliibiwa Dar akaenda kuipata Bukoba, na gharama zilirudi na faida juu.
Ilishawahi kunitokea hiyo, eti nimekabwa na hao vibaka walikuwa wamekaa na mlinzi wakainuka kutoka kwa mlinzi Kuja kunikaba. Naenda Polisi kuelezea scenario na yule mlinzi nikampiga mkwara tukaenda wote mpaka kituoni.Ukiripoti umewapa dili wanakula kotekote, wana mtrack wanampata wanamtoa hela na simu wanabaki nayo
Umeibiwaje dukani au....poleeNimeibiwa sim na nisharipot police
Sasa niitrack au police watakula ela zangu
Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha
Maana nimejaribu kupitia nyuzi hapa hamna mtu anakiri alishawahi pata simu kwa kupitia police
Nitafute nikununulie kama iliyoibiwa..poleHata kula sijala leo
Kuna jamaa aliibiwa laptop Morogoro akavuka kwenda Kinole huko alirejeshewa laptop yake vzr kbs ilimgharimu 40k+ nauli!!
ACHA KUTULUSHA UNAMAANISHA NI KAMA MADALALI?Polisi ya tz ni wapumbavu ilo ni jukumu lao kutrack wahalifu bure wakimkamata huyo muhalifu ndiyo abanwe siyo wewe uliye ibiwa uwalipe wapumbavu wakutrakie mwizi ...kazi ya polisi ni gani sasa? Tena ndiyo maana kuna tabia kuwa polisi wakimtrack mwizi na kumpata wanamalizana naye juu kwa juu na pesa yako inakuwa imeliwa ...wanachukua kwa muhalifu na wanachukua kwako.na simu upatiwi wanakuambia atujampata .
Pole sana rafiki yangu hii kitu ilinikuta na Mimi pale kariakoo nilikaa kwanza chini baadae nikaendelea kulia simu imekaa wiki tu wahuni wakasepa nayo sikufanikiwa kuipata hadi Leo hiiNikupe pole tu nilipitia hilo janga mwaka jana, vikosi 4 vilitumika kuitrack huyo wa nne ndiye aliipata haikuwa rahisi hata kidogo,
Pole sana masai dada mcheki mtaalam wetu Chief-MkwawaNimeibiwa sim na nisharipot police
Sasa niitrack au police watakula ela zangu
Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha
Maana nimejaribu kupitia nyuzi hapa hamna mtu anakiri alishawahi pata simu kwa kupitia police
Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine
Hakika amwachie Mungu tu mimi ilnitokea nikariport baada ya siku kazaa mwizi nikamkamata mwenyewe kitambaa alaf akampoza askali 70k kwa gharama ya 3.6M alaf askar nikamwendea kwa wakubwa wake akaniwakia kisenge eti kwa hasira akasema twende mahakamani nikamwambia futa kesi malipo ni hapa hapa duniani tukaandikishana nimefuta kesi…mpk kesho nimebakigi na kumbukumbu za rb tu.Polisi ya tz ni wapumbavu ilo ni jukumu lao kutrack wahalifu bure wakimkamata huyo muhalifu ndiyo abanwe siyo wewe uliye ibiwa uwalipe wapumbavu wakutrakie mwizi ...kazi ya polisi ni gani sasa? Tena ndiyo maana kuna tabia kuwa polisi wakimtrack mwizi na kumpata wanamalizana naye juu kwa juu na pesa yako inakuwa imeliwa ...wanachukua kwa muhalifu na wanachukua kwako.na simu upatiwi wanakuambia atujampata .