Huyo ni Polisi?.Kuna Mtu hapo juu amehoji kama tracking inaweza kufanywa pia na Mtu binafsi?.Nicheki nikuunganishe na jamaa yangu yeye ni pongo, atakutrakia kwa malipo kiduchu yamkini ukaipata..yuko smart sana kwenye hizo mambo
Halafu mie hio basmati wala sina mzuka nayo. Napika ubwabwa wangu wa mchele wa mbeya uliokolea nazi, shoti lazima ujirambeeOle wako siku nije znz halafu ukatae kutu pikia basmati rice 😁
ewaa mi chakula chochote nakula, Kikubwa kiwe Cha halali tu.Halafu mie hio basmati wala sina mzuka nayo. Napika ubwabwa wangu wa mchele wa mbeya uliokolea nazi, shoti lazima ujirambee
Mkuu walinambia simu yako imesoma ipo kariakoo nitume pesa ya mafuta ili waende kumkamata mhusika hapo mimi nikiwa niko kazini nikatuma toka siku hiyo mpaka leo bado hawajamkamata mhusika ni mwaka na ushee🤨😬😬Wanaitumia wenyewe
TCRA wanasema huduma hiyo ni bure lakini polisi hiyo huduma siyo bure unalipia lakini ni nadra simu kupatikaniMkuu walinambia simu yako imesoma ipo kariakoo nitume pesa ya mafuta ili waende kumkamata mhusika hapo mimi nikiwa niko kazini nikatuma toka siku hiyo mpaka leo bado hawajamkamata mhusika ni mwaka na ushee🤨😬😬
Mimi nimelipia 90000 ya ku track simu walipo nambia imepatikana ipo kariakoo nikawapa sh40000 ya mafuta.TCRA wanasema huduma hiyo ni bure lakini polisi hiyo huduma siyo bure unalipia lakini ni nadra simu kupatikani
Nenda ukaonane nao ana kwa ana wakurudishie hiyo pesa ila kumbuka kiendacho kwa mganga hakirudi lakini kumbuka pia maboss wa hao mapolisi wapo kwanini usiende kuwaona hapa tuna badilishana uzoefu tuMimi nimelipia 90000 ya ku track simu walipo nambia imepatikana ipo kariakoo nikawapa sh40000 ya mafuta.
Mimi police aliyenitapeli ni yule mpelelezi aliyekabidhiwa kesi yangu na mwenzie,yaani nikastaki kwa Askali kwamba wameniibia wasije wakanipoteza bure chozi langu haliendi bure.Nenda ukaonane nao ana kwa ana wakurudishie hiyo pesa ila kumbuka kiendacho kwa mganga hakirudi lakini kumbuka pia maboss wa hao mapolisi wapo kwanini usiende kuwaona hapa Tina badilishana uzoefu tu
Peleka kesi ya ngedele kwa nyani, kikikikiMimi police aliyenitapeli ni yule mpelelezi aliyekabidhiwa kesi yangu na mwenzie,yaani nikastaki kwa Askali kwamba wameniibia wasije wakanipoteza bure chozi langu haliendi bure.
🤨🤨🤨Peleka kesi ya ngedele kwa nyani, kikikiki
Nimeibiwa sim na nisharipot police
Sasa niitrack au police watakula ela zangu
Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha
Maana nimejaribu kupitia nyuzi hapa hamna mtu anakiri alishawahi pata simu kwa kupitia police
Capacity yao nadhani ni ndogo kwenye mambo ya tech.niliwahi kushauri
kwa nini TCRA wasiwe wanazifungia simu zinazoibiwa
mmiliki awapatie imei namba na taarifa ya upotevu tokea polisi
Uko sahihiCapacity yao nadhani ni ndogo kwenye mambo ya tech.
Siyo mbaya kujifunza.waende hata kwa kagame hapo wajifunze.Kuna jamaa yangu aliibiwa laptop yake kwenye gari. alipokwend kureport police walimwambia aache details/contacts zake .next day akapigiwa simu aemde aka collect laptop yakeUko sahihi
Hawawezi kwendaSiyo mbaya kujifunza.waende hata kwa kagame hapo wajifunze.Kuna jamaa yangu aliibiwa laptop yake kwenye gari. alipokwend kureport police walimwambia aache details/contacts zake .next day akapigiwa simu aemde aka collect laptop yake
Na nime sahau kusema tusi kimbizwe na kaka mkubwa😂Halafu mie hio basmati wala sina mzuka nayo. Napika ubwabwa wangu wa mchele wa mbeya uliokolea nazi, shoti lazima ujirambee
Nenda Msimbazi na Oysterbay kuna kesi nyingi sana mamia za wizi wa simu, kila siku kesi mpya. Tazama kesi nyingi ni za simu gani, na hapo Apple ni kampuni mojawapo kati ya makampuni kadhaa common hapa bongo kwenye smartphones.Sasa hio ndio vise-verse. Watu Wengi wanajua iPhone ndio zinatrakiwa hivyo wakizipata moja kwa moja kwa fundi simu ili kuuza spares.
Ila kwa androids sasa ndio wanaamini haiwez kutrakiwa. Mie yangu Samsung A53 na niliipata
Polisi mafisi lazima yakutake Kwanza.Nimeibiwa sim na nisharipot police
Sasa niitrack au police watakula ela zangu
Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha
Maana nimejaribu kupitia nyuzi hapa hamna mtu anakiri alishawahi pata simu kwa kupitia police