Nimeibiwa simu, utakayeinunua nalala na wewe mbele, labda isiwashwe daima

Usiku wa kuamkia leo, nikiwa nimetembelea ndugu zangu Tungi, Kigamboni, tumeamka asubuhi na kukuta begi langu halipo...alifungua dirisha kwa kitu cha chuma na kutoa loki ya dirisha. Ndani ya begi kuna Simu (sitataja ni aina gani kwsababu maalumu), vitambulisho 8 (kadi za benki 4, kadi za mifuko ya kijamii 3 na kitambulisho cha mpiga kura), nyaraka mbalimbali za kiofisi.

Tayari nimechukua RB kituo kikuu cha polisi kigamboni...na mimi kwa ushirikiano na wenzangu, tayari tracking ya simu imeanza, haijalishi utaflash au kutoa laini but as long as iko ON, tukifika ulipo wewe ndio utatupeleka kwa aliyekuuzia, na yeye atupeleke alipopleka vitu vingine. Kisha taratibu zingine za kisheria zitaendelea. OVA.

Alex Yesaya.
Ungewaambia wengine Mkuu Mara nyingi mwisho wa michango yako ilikuwa inaandikwa tecno w5 au ulinunua nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukienda na ukweli polisi watakula hela zako ila hutapata hiyo simu wala alie inunua

Wezi wa siku hizi hata uibiwe iphone 7 sahau kuipata hata iwe na icloud hutaipata milele

Afu uache ushamba wa kutembea na kadi zote za benki sehemu moja

Km iphone wanafanyia nn sasa?
 
Usiku wa kuamkia leo, nikiwa nimetembelea ndugu zangu Tungi, Kigamboni, tumeamka asubuhi na kukuta begi langu halipo...alifungua dirisha kwa kitu cha chuma na kutoa loki ya dirisha. Ndani ya begi kuna Simu (sitataja ni aina gani kwsababu maalumu), vitambulisho 8 (kadi za benki 4, kadi za mifuko ya kijamii 3 na kitambulisho cha mpiga kura), nyaraka mbalimbali za kiofisi.

Tayari nimechukua RB kituo kikuu cha polisi kigamboni...na mimi kwa ushirikiano na wenzangu, tayari tracking ya simu imeanza, haijalishi utaflash au kutoa laini but as long as iko ON, tukifika ulipo wewe ndio utatupeleka kwa aliyekuuzia, na yeye atupeleke alipopleka vitu vingine. Kisha taratibu zingine za kisheria zitaendelea. OVA.

Alex Yesaya.
Pole sana, Mimi niliibiwa Pia Mwezi huu wa saba Mwanzoni, ilichukua siku mbili tu kutia mikononi Mwizi wa Simu.
 
Usiku wa kuamkia leo, nikiwa nimetembelea ndugu zangu Tungi, Kigamboni, tumeamka asubuhi na kukuta begi langu halipo...alifungua dirisha kwa kitu cha chuma na kutoa loki ya dirisha. Ndani ya begi kuna Simu (sitataja ni aina gani kwsababu maalumu), vitambulisho 8 (kadi za benki 4, kadi za mifuko ya kijamii 3 na kitambulisho cha mpiga kura), nyaraka mbalimbali za kiofisi.

Tayari nimechukua RB kituo kikuu cha polisi kigamboni...na mimi kwa ushirikiano na wenzangu, tayari tracking ya simu imeanza, haijalishi utaflash au kutoa laini but as long as iko ON, tukifika ulipo wewe ndio utatupeleka kwa aliyekuuzia, na yeye atupeleke alipopleka vitu vingine. Kisha taratibu zingine za kisheria zitaendelea. OVA.

Alex Yesaya.
Pole kaka. Kwenu huko hamna Ulinzi Shirikishi? Hapa kwetu sisi tunalala Nguo nje, madirisha wazi hadi asubuhi. Wezi hawakatishi, timu ya walinzi wetu iko imara. Kila mwezi twachangia 3000/=
 
Usiku wa kuamkia leo, nikiwa nimetembelea ndugu zangu Tungi, Kigamboni, tumeamka asubuhi na kukuta begi langu halipo...alifungua dirisha kwa kitu cha chuma na kutoa loki ya dirisha. Ndani ya begi kuna Simu (sitataja ni aina gani kwsababu maalumu), vitambulisho 8 (kadi za benki 4, kadi za mifuko ya kijamii 3 na kitambulisho cha mpiga kura), nyaraka mbalimbali za kiofisi.

Tayari nimechukua RB kituo kikuu cha polisi kigamboni...na mimi kwa ushirikiano na wenzangu, tayari tracking ya simu imeanza, haijalishi utaflash au kutoa laini but as long as iko ON, tukifika ulipo wewe ndio utatupeleka kwa aliyekuuzia, na yeye atupeleke alipopleka vitu vingine. Kisha taratibu zingine za kisheria zitaendelea. OVA.

Alex Yesaya.
Usijiaminishe sana, in this edge of rapid technology developments there is always a loop hole to exploit, ushauri tu kuwa mpole every technology is reversible

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ukimwambia asiwashe sindohata washa sasa utamkamataje uyo mwizi akili ndogo bora ungekaa kimya ili umkamate uyo mwizi kinyume cha hapo unamtisha tu ili akuletee hamna lolote
 
Unazurura mjini na mikadi minne ya bank, plus mikadi mitatu ya hifadhi za jamii, ili iweje? Ulikuwa unahama?
Karibu DarSalama.

-Kaveli-

Kadi za hifadhi za jamii ndio zikoje na zinatumika wapi, Mkuu? Samahani kwa usumbufu!
 
Back
Top Bottom