Nimeibiwa simu, utakayeinunua nalala na wewe mbele, labda isiwashwe daima

Alex, pole na karibu Kigamboni yetu, ila tayari ushatobia siri tiyari. Mkuu vitambulisho 8 duh.
 
Usiku wa kuamkia leo, nikiwa nimetembelea ndugu zangu Tungi, Kigamboni, tumeamka asubuhi na kukuta begi langu halipo...alifungua dirisha kwa kitu cha chuma na kutoa loki ya dirisha. Ndani ya begi kuna Simu (sitataja ni aina gani kwsababu maalumu), vitambulisho 8 (kadi za benki 4, kadi za mifuko ya kijamii 3 na kitambulisho cha mpiga kura), nyaraka mbalimbali za kiofisi.

Tayari nimechukua RB kituo kikuu cha polisi kigamboni...na mimi kwa ushirikiano na wenzangu, tayari tracking ya simu imeanza, haijalishi utaflash au kutoa laini but as long as iko ON, tukifika ulipo wewe ndio utatupeleka kwa aliyekuuzia, na yeye atupeleke alipopleka vitu vingine. Kisha taratibu zingine za kisheria zitaendelea. OVA.

Alex Yesaya.
Pole sana,I know how inconvinient it is.Komaa uwafundishe adabu mkuu.
 
Pole......nilikuwa na msiba had I ulale kwa ndugu.....wanaume wa dar bhana
Hhhhhh just kidding my fellow

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alex Yesaya umelipia Tangazo?
Kama bado usisahau EFDA tukuze uchumi wetu mzebaba au sio?

thA God thA bubbs!!
 
Usiku wa kuamkia leo, nikiwa nimetembelea ndugu zangu Tungi, Kigamboni, tumeamka asubuhi na kukuta begi langu halipo...alifungua dirisha kwa kitu cha chuma na kutoa loki ya dirisha. Ndani ya begi kuna Simu (sitataja ni aina gani kwsababu maalumu), vitambulisho 8 (kadi za benki 4, kadi za mifuko ya kijamii 3 na kitambulisho cha mpiga kura), nyaraka mbalimbali za kiofisi.

Tayari nimechukua RB kituo kikuu cha polisi kigamboni...na mimi kwa ushirikiano na wenzangu, tayari tracking ya simu imeanza, haijalishi utaflash au kutoa laini but as long as iko ON, tukifika ulipo wewe ndio utatupeleka kwa aliyekuuzia, na yeye atupeleke alipopleka vitu vingine. Kisha taratibu zingine za kisheria zitaendelea. OVA.

Alex Yesaya.

Hii ndio dasalama lilikuwa linaitwa jiji la makamba
 
Mtanzania unatembea na kadi 15 mfukoni ni kipimo tosha kuwa umepitwa na wakati. Hiyo technology unayodhani itakusaidia wenzio wanajua kuitengua. Take it easy.
 
Usiku wa kuamkia leo, nikiwa nimetembelea ndugu zangu Tungi, Kigamboni, tumeamka asubuhi na kukuta begi langu halipo...alifungua dirisha kwa kitu cha chuma na kutoa loki ya dirisha. Ndani ya begi kuna Simu (sitataja ni aina gani kwsababu maalumu), vitambulisho 8 (kadi za benki 4, kadi za mifuko ya kijamii 3 na kitambulisho cha mpiga kura), nyaraka mbalimbali za kiofisi.

Tayari nimechukua RB kituo kikuu cha polisi kigamboni...na mimi kwa ushirikiano na wenzangu, tayari tracking ya simu imeanza, haijalishi utaflash au kutoa laini but as long as iko ON, tukifika ulipo wewe ndio utatupeleka kwa aliyekuuzia, na yeye atupeleke alipopleka vitu vingine. Kisha taratibu zingine za kisheria zitaendelea. OVA.

Alex Yesaya.
Tungi Kigambon Msalime Sana Diwan Wangu Mafimbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom