Nimeibiwa simu, utakayeinunua nalala na wewe mbele, labda isiwashwe daima

Nimeibiwa simu, utakayeinunua nalala na wewe mbele, labda isiwashwe daima


Usitishe watu na hizo cloud/icloud zako, simu yaweza kuwashwa mpya na ikatumia....na hizo codes zako za simu hazitakusaidia .... wewe leta specification za simu waambie watu akiona simu ya aina hii inauzwa nishtue .....
 
Haileti maana mtu kaibiwa simu alafu hasemi ni aina gani, na unataka kuipata, kuficha aina ya simu na kutuandikia sisi plan za kuipata ni dalili za ujuwaji usiyokuwa na maana.
Bora ungenyamaza ukaitafuta kimya kimya kuliko kuficha aina ya kitu ulichoibiwa alafu unatangazia uma.
Omba Mungu isiwashiwe Kibiti ndiyo utajuwa polisi wanaushirikiano au hawana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hii ninayoitumia muda huu.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
hakuna mmeru mduwanzi ivi uyu anazunguka na vitambulisho vingi kama muuza kahawa na visheti atakuwa mcongo mgeni isije ikawa kaibiwa kitecno mikwara yote iyo


Mkuu umenichekesha sana. Huyu jamaa mduwanzi sana.

-Kaveli-
 
Tatizo lako mtoa mada unataka tisha watu
Jua hao wezi si wajinga kiasi hicho
Watu wakiiba iphone wanaenda ichinja
Wanatoa vifaa vyote wanakuachia motherboard tu sasa nenda kaitrack
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inakua kama wez wa gari wanaacha bodi

May Allah bless Me and You
 
Back
Top Bottom