Erick_Otieno
JF-Expert Member
- Mar 28, 2010
- 624
- 1,029
- Thread starter
- #21
we tulia....zamu hii sifa pembeni, nalala na mtu mbele...asiwashe tu hiyo cmu hapo ndo atakuwa mjanjaha haha safi safi sana umezidi misifa
we tulia....zamu hii sifa pembeni, nalala na mtu mbele...asiwashe tu hiyo cmu hapo ndo atakuwa mjanjaha haha safi safi sana umezidi misifa
haya....kafie mbele na mikwara yako mbuzi!
Uko kama mimi tunahangaika kuvipata wao wanataka kuja kujibebea tu.Kila LA gheri mwizi yoyote simpendi aisee
sent from my iPhone 6
hiyo nayo ni kazi mkuu,acha kukaririFanya Hivyo Broo Coz Watu Hawataki Kufanya Kazi Wamewekeza Akili na Nguvu Katka Wizi
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa kaiba iwe pambo atawasha tuwe tulia....zamu hii sifa pembeni, nalala na mtu mbele...asiwashe tu hiyo cmu hapo ndo atakuwa mjanja
okAcha biti kijana... Nimesha nunua iphone kama 4 zote nimeenda kuzipiga nusu kaputi... Na zinatumika kama kawaida
Halafu bdo hang over haijakuisha kichwani
Nshapoa mkuu...nipo kwenye majukumu yangu huku natafuta mwizi wangu bila presha.Pole sana jembe.
-Ndumilakuwili-
hiyo sayansi sijaizoea, mie nipo kwenye sayansi ya teknolojia...ila ntamcheki aongeze nguvu.Mkuu mtafute mshana mwiz mtumie nyuk mwenyewa atarudisha begi
Mkuu elewa kuwa polisi ushirikiano wao ni kuniandikia maelezo na kunipa namba ya RB, na kunisaidia kwenye ku-arrest...meaning utafutaji na upatikanaji ni jukumu langu mkuu.Tukienda na ukweli polisi watakula hela zako ila hutapata hiyo simu wala alie inunua
Wezi wa siku hizi hata uibiwe iphone 7 sahau kuipata hata iwe na icloud hutaipata milele
Afu uache ushamba wa kutembea na kadi zote za benki sehemu moja