Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,289
- 6,677
Hahahahaa dah mimi niliibiwa nikasemehe tu, ila imei number ya simu ninayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu jamaa anawatishia watu nyau na ishu ya kutrack imekua iphone hiyo ..adroid watu wanabadili hadi IMEI no.unabeba begi ka unaenda ulaya sijui id ya bank,leseni udereva,leseni ya kuingia mjini...ah ah tulia tu nunua mpya au utazidi pigwa elaround hii wamekulalia
Mkuu kuna watu hawana muda wa kufatilia, either ana mambo mengine mengi...kwa wanaofuatilia na kama simu una nyaraka zake zote...mkuu inapatikana kama kukuHawa wezi jamaa kaibiwa iPhone 7 plus kakaa nayo wiki moja tu mpaka Leo hajapata na kile kipindi inatoka dola zaidi ya 2000 ikaenda na maji kiulaini
Sent using Jamii Forums mobile app
sijataja jina la simu...soma thread ndio ukurupuke.huyu jamaa anawatishia watu nyau na ishu ya kutrack imekua iphone hiyo ..adroid watu wanabadili hadi IMEI no.unabeba begi ka unaenda ulaya sijui id ya bank,leseni udereva,leseni ya kuingia mjini...ah ah tulia tu nunua mpya au utazidi pigwa ela
Dah... Ipo huku chiefMie dar kitambo...ila hawa nalala nao mbele. Labda wasiwashe simu.
ulimwengu umeendelea...jaribu kuibia anayejielewa ndio utajua usiyoyajua. shabashhuyu jamaa anawatishia watu nyau na ishu ya kutrack imekua iphone hiyo ..adroid watu wanabadili hadi IMEI no.unabeba begi ka unaenda ulaya sijui id ya bank,leseni udereva,leseni ya kuingia mjini...ah ah tulia tu nunua mpya au utazidi pigwa ela
sitafanya hivyo...either atakaa korokoroni akishindwa kujidhamini na kufidia usumbufu..but as long as nitakuwa nshapata vitu vyangu sitammind sanaUsisahau kumvisha tairi la moto mwizi wako .
nipe tafsiri ya neno "mikwara"...coz mie nimeeleza what happened na hatua ninazochukua. what else?pole ila relax kidogo mikwara sometimes haisaidii
anaweza akauziwa aliyekuzid knowledge ukaishia patupu
mkuu usikariri...dunia imeendelea.Kama ni Iphone sawa ila hizi Android majanga akibadili setfict au Imei kwisha habari yako hata uende china huwezi ipata
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo nakwambia next time usibebe mavitambulisho yote kama upo kigoma unaogopa kuitwa mkimbizi.pili siku hizi watu hawatishiwi na kutrack simu koz inaweza badili IMEI au watu wanaivunja wanauza vifaa...anyway hasira za kupigwa pole bosssijataja jina la simu...soma thread ndio ukurupuke.
hasira mbaya wasije wamkalala na wew tuMie dar kitambo...ila hawa nalala nao mbele. Labda wasiwashe simu.
nitalala nae mbele c mkwara huonipe tafsiri ya neno "mikwara"...coz mie nimeeleza what happened na hatua ninazochukua. what else?