Mkuu omba urudishiwe vitambulisho hiyo Tecno yako ndio kwaheri simu ikishauzwa inabadilishwa Imei no labda huyo awe bwegeWateja wengi wapenda smartphone wamo humu.
Mkuu omba urudishiwe vitambulisho hiyo Tecno yako ndio kwaheri simu ikishauzwa inabadilishwa Imei no labda huyo awe bwegeWateja wengi wapenda smartphone wamo humu.
Kiusalama ulipaswa kutulia wakati vyombo vya Dola kupitia Cyber Crime kuwa track hao wezi wako, obviously Wizi wa Simu kwa sasa hauna tena Dili lakini vijana hawataki kuelewa. Pili napenda kuwashauri wale wote wanaonunua simu bila kujua uhalali wa Simu husika, waachane na Tabia hiyo. Wataishia kuingia hatiani bila kujua. Mwisho kwa faida ya wachache IMEI ya Simu ipo moja tu.Usiku wa kuamkia leo, nikiwa nimetembelea ndugu zangu Tungi, Kigamboni, tumeamka asubuhi na kukuta begi langu halipo...alifungua dirisha kwa kitu cha chuma na kutoa loki ya dirisha. Ndani ya begi kuna Simu (sitataja ni aina gani kwsababu maalumu), vitambulisho 8 (kadi za benki 4, kadi za mifuko ya kijamii 3 na kitambulisho cha mpiga kura), nyaraka mbalimbali za kiofisi.
Tayari nimechukua RB kituo kikuu cha polisi kigamboni...na mimi kwa ushirikiano na wenzangu, tayari tracking ya simu imeanza, haijalishi utaflash au kutoa laini but as long as iko ON, tukifika ulipo wewe ndio utatupeleka kwa aliyekuuzia, na yeye atupeleke alipopleka vitu vingine. Kisha taratibu zingine za kisheria zitaendelea. OVA.
Alex Yesaya.
Kadi za hifadhi za jamii ndio zikoje na zinatumika wapi, Mkuu? Samahani kwa usumbufu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa nini?ha haha safi safi sana umezidi misifa
Misifa yake mingi hasa huku jf[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa nini?
"PAMBANA NA HALI YAKO"
Labda anatokea kule kwetu kwenye mto Ngono na Katerero. [emoji23] [emoji23]Misifa yake mingi hasa huku jf
Ila hiyo rangi haisapotiLabda anatokea kule kwetu kwenye mto Ngono na Katerero. [emoji23] [emoji23]
"PAMBANA NA HALI YAKO"
Hahaha hahaha umefanya nicheke sana. Nilijua ndio "Majani Fc" kwa jinsi ulivyokuja na diss dhidi yake.Ila hiyo rangi haisapoti
wanaendaga dukan lakin hawanunui mtaanWateja wengi wapenda smartphone wamo humu.