usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,977
- 14,102
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Polee mkuu aiseee!!
Nacheka utadhan mazur
Dhaaa!!! Yan chumba
Cheupeeeee
[Color= yellow]Triple A[/color]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hii point nilikuwa naifikiria bora umeisema.Mara nyingi tunapofanya shughuli za kiintelijensia hatubwabwaji ovyo kwenye mitandao.
Tushaichinja siku mingiii poleee mzeeMie dar kitambo...ila hawa nalala nao mbele. Labda wasiwashe simu.
Sasa si hata hao wezi wako wanaishi kwenye hii hii dunia iliyoendelea? Au unadhani wao wanaishi dunia nyingine? Wewe ukijua hili wenzio wanajua lile,usijiamini sana kijana kua simu ni lazima uipate.mkuu usikariri...dunia imeendelea.
Hata wizi pia ni kazi ila sio halaliFanya Hivyo Broo Coz Watu Hawataki Kufanya Kazi Wamewekeza Akili na Nguvu Katka Wizi
Sent using Jamii Forums mobile app