chankele kigoma
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 199
- 121
Siyo kwa utandawizi uliopo saizi kaka, teknolojia imekuwa jipange nunua nyingine na hiyo isahau kabisa na mwizi humpati Ng'oo!Mie dar kitambo...ila hawa nalala nao mbele. Labda wasiwashe simu.
Siyo kwa utandawizi uliopo saizi kaka, teknolojia imekuwa jipange nunua nyingine na hiyo isahau kabisa na mwizi humpati Ng'oo!Mie dar kitambo...ila hawa nalala nao mbele. Labda wasiwashe simu.
Katika Kutrack Hiko Kimeo Chako Unakuta Kinasoma Kibiti Mkoa wa Pwani What Utafanya Mkuu Utaendelea kuifatilia Or Utafyata Mkia Chini?[emoji14] [emoji16] [emoji16] [emoji2] [emoji2]
Hata wakiflash unaipata? Ila nakusifu kwa ubunifu wa kujipigia promo,nikiibiwa simu nakutafuta unisaidie kuipata,vitu gani muhimu in case mtu amepoteza simu na unataka kumsaidia kuipata?yeah gharama ni muda tu, pengine anaweza akakaa hata wiki 2 au mwezi ndio aanze kuitumia...hiyo ndo gharama, vingine vyote mm ndo master mwenyewe mitamboni...gharama ingine labda ya polisi kwa kuwasumbua ku arrest
Hahahhahaha umejuaje asee[emoji23][emoji23][emoji23] we mmeru eeh?
Ndiyo huyu me nimefurahiKumbe ndo huyu wa mshaara wa 1.2m ....alaf usikute simu yenyewe tecno
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipemoyoo
Labda kama aliye iba hiyo simu ni mwizi mwanafunzi lakin kama ni mwizi kweli kweli tena mzoefu hakika anajua kabisa akisha iiba hiyo simu aanzie wapi kwanza ili awe salama yeye na mteja wake mtarajiwa. Na huta mkamata kamwe ila mtakuwa mnachati tu whatsup mambo mengine mengine.
Tuna iflashiMie dar kitambo...ila hawa nalala nao mbele. Labda wasiwashe simu.
Oya kama ww mwanaume njoo apa maskani ya talebani tabata ukague masela wote sema ukija hapa kurudi kwenu uchi ni kitu cha kawaida sana
Umekaribishwa Dar,umefika na begi lako kutoka kwenu Mbinga unajidai unajua mji,itawashwa na hutafanya kitu usitutishe matisho tumeshayazowea sisi!Vitambulisho 8 vya nini?kadi 4 za bank za nini mwisho kitambulisho cha mpiga kura,kwa hyo ni vitambulisho 9?Kujidai kwako wa mjini kumekuponza,track weeeeeee hadi urudi kwenu MbingaUsiku wa kuamkia leo, nikiwa nimetembelea ndugu zangu Tungi, Kigamboni, tumeamka asubuhi na kukuta begi langu halipo...alifungua dirisha kwa kitu cha chuma na kutoa loki ya dirisha. Ndani ya begi kuna Simu (sitataja ni aina gani kwsababu maalumu), vitambulisho 8 (kadi za benki 4, kadi za mifuko ya kijamii 3 na kitambulisho cha mpiga kura), nyaraka mbalimbali za kiofisi.
Tayari nimechukua RB kituo kikuu cha polisi kigamboni...na mimi kwa ushirikiano na wenzangu, tayari tracking ya simu imeanza, haijalishi utaflash au kutoa laini but as long as iko ON, tukifika ulipo wewe ndio utatupeleka kwa aliyekuuzia, na yeye atupeleke alipopleka vitu vingine. Kisha taratibu zingine za kisheria zitaendelea. OVA.
Alex Yesaya.