nimeibiwa mume!

umempata?.,ngoja tuanze kujisogeza tukutunze,kama ulikua unaenda saloon mara 1 kwa mwezi tarajia kwenda mara 24 yaan kwa week mar 3.we njoo kwanza roho yangu ilisha kudondokea.

mwaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!
 
Hee jamani mbona cacico unaanza kuniharibia tena aisee
Hapa niko najaribu kama naweza kuimba kama MwanaFA
We siunaujua ule wimbo wake wa UNANITEGA eeh?
nimetoa angalizo tu jirani! ni hayo tu na sina nia mbaya! msalimie Amyner lol!
 
Last edited by a moderator:
umempata?.,ngoja tuanze kujisogeza tukutunze,kama ulikua unaenda saloon mara 1 kwa mwezi tarajia kwenda mara 24 yaan kwa week mar 3.we njoo kwanza roho yangu ilisha kudondokea.

mwaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!

bdo mkuu,yan hapa cna hata lepe la ucngz. nahesabu matobo ya net mpk asbh niamkie rfa na star tv! ikishndikana najivua gamba mie. . .
 
nimekaa nafikiri, nione kama ni ndotoo kwan matone ya machoz ni zaidi ya milion. machungu tele moyon wewe kwenda mbali nami sina tofaut na kipofu kwani hata njia sioni i i i i i . . . .nailazimisha furaha ingawa moyon nina machoz cna tofaut na mpofu . . . . platozoom plz come back bebi . . .
 
Last edited by a moderator:
Cute mamie huezamin cjalala jicho kavu ka dagaa mpk kumekucha. hujamwona mtaan kwenu huko jaman. . .nafwa mie. hebu ngoja nijiandae niende kutangaza searchline rfa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom