nimeibiwa mume!

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
yeuuuwiiii! nimeibiwa mume leo cku ya wiki ya pili cjamwona. . .aliyenionea mume wangu platozoom aniambie!
 
Last edited by a moderator:
yeuuuwiiii! nimeibiwa mume leo cku ya wiki ya pili cjamwona. . .aliyenionea mume wangu platozoom aniambie!

Kumbe Jirani huna uvumilivu?
Wiki mbili tu! Umemfungulia Sredi?
Mie nna wiki 3 simjui mke alipo, sijui anakula wp! Analala wapi!
 
Last edited by a moderator:
mkulu Judgement hii ndo njia rahc ya kumtafta. kama ikifka kesho cjampata naenda RFA STAR TV
 
Last edited by a moderator:
Hivi umeshajaribu kucheck na BADILI TABIA ?
Huyo ndio hasaaaa mwizi maarufu wa waume za watu coz hata mimi alishawahi kuniiba

52 yaani wewe umekua mtu kama wa 10 nakuskia ukimuongelea BT Kiivo!
Sijui namie kuna siku ataniiba ?
Ngoja nisubiriesubirie nione kama atajaribu!
 
Last edited by a moderator:
Katulizwa ndani akitaka kwenda kuoga anabebwa mgongoni. analiswa kama toto atarudi kwako unaeshinda jf hata huna muda wa kutandika kitanda lwako.
 
52 yaani wewe umekua mtu kama wa 10 nakuskia ukimuongelea BT Kiivo!
Sijui namie kuna siku ataniiba ?
Ngoja nisubiriesubirie nione kama atajaribu!
Hahahahaaaaaa Judgement imebidi nicheke mwenyewe ujue yaani nimefurahishwa sana na kauli yako lol
Safi sana
Jaribu uone vya wizi vilivyo vitamu lol hutang'ooka hapo
 
Last edited by a moderator:
charminglady tulia. anakuja soon nimesha mruhusu. mie aliniambia ana mchumba

anamchunguza tabia ila bado hajaoa. huyu sio bure naona watakuwa marafiki

na Erickb52 sabb nae alikuja na uwongo kama huu. pole mamito.
 
Last edited by a moderator:
Tafuta mnyonge wako na ww umuibie mama, ndo mjini tena hivyo!
Ila kwa PAW usithubutu kukutwa, nitakufurumua hata ardhi uliyoikanyaga NASA hawataiona!
 
Back
Top Bottom