Nimegunduwaa..!!

Nimegunduwaa..!!

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
474
Reaction score
188
1. Nimegundua waschana wengi siku hizi hawavai ch***p.
2. imegundua vjana wengi wa mjini wako CDM.
Je, wewe umegundua nini???
 
Matapeli wengi wanavaa vizuri na ni wasafi.
 
Asilimia kubwa ya wasichana wanaoenda coco beach na club kama maisha,bills na masai ni machangudoa!!
 
watu wengi wenye akaunti jamii forums wanaingia kama guests
 
Nimegundua Raisi wetu ana watoto kadhaa
 
Nimegundua kuwa binadamu wengi hawana upendo wa kweli

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Nimegundua wengi wanaochangia hii sred ni teenagers
 
Aaah!!!nimegundua kati ya wakazi 1000 wa Tunduma ni 100 tu ndio wanazitambua fedha za kitanzania coz wao hutumia zaidi zile za Zambia
 
Aaaah ndio maaaana!! Nimegundua wana Jf hawataki zawadi nlioitoa leo kwenye Thred ya Katuduchu, yenye topic ya Hooodi! Kudadadeki Zenu! H o v y o !! Vione. Mnsshhhiii/:!?";">.
 
Nimegundua kuwa mikopo uliyonayo inazidi thamani ya aseti zako
 
Yaani wewe unajiunga leo na kuanza kututukana?
Aaaah ndio maaaana!! Nimegundua wana Jf hawataki zawadi nlioitoa leo kwenye Thred ya Katuduchu, yenye topic ya Hooodi! Kudadadeki Zenu! H o v y o !! Vione. Mnsshhhiii/:!?";">.
 
Back
Top Bottom