Nimegundua ndoa zimekufa muda sana

Nimegundua ndoa zimekufa muda sana

Hii baada ya kuambiwa mwenyekiti wa jumia yetu na mkewe wamegawana vyumba lakn kwa watu wanaonesha kuwa wapo pamoja na kanisani wana shirirki ekarist takatifu kabisa
Moja kati ya vitu ninavyovichukia makanisani. Hakuna sehemu umbeya unapigwa kama kanisani aisee.

Usisikilize umbeya wewe ni dume la nyani mzee.
 
Kuishi na mtu mmoja myaka 40 we kuweza😅😅?
Migongano na ugomvi inakata hamu ya tendo ambao ndyo msingi wa kustawisha ndoa..

Watu watashangaa ila kuna muda uume unaweza usisimame kwa wife sabab ya makelele
 
Kuishi na mtu mmoja myaka 40 we kuweza😅😅?
Migongano na ugomvi inakata hamu ya tendo ambao ndyo msingi wa kustawisha ndoa..

Watu watashangaa ila kuna muda uume unaweza usisimame kwa wife sabab ya makelele
Na wewe huwezi
 
Wanandoa ni waongo sana,watakwambia hawalali pamoja haujakaa sawa mkewe mjamzito!
Achana na hao, mbn kununiana na kuringiana ndoani ni jambo la kawaida?

Kuna zile ghadhabu za menopause asikwambie mtu, huwaga ni vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Nawashauri vijana, usioe ama kuolewa na mwenzi wa rika lako kuna changamoto kubwa.

Aheri mtofautiane minimum 15 yrs, kwa mume kuwa mkubwa, mtaleana hadi mwisho vzuri sana na hili watu huwa hawaliweki wazi.

Mwanamke 'trade' zinapoisha na mwanaume anakuwa tayari ashapinda mgongo, hana kazi.

Mnabaki tu kuwa marafiki wa kupangiana zamu ya kazi za usafi wa chumbani.

Mwanamke ashafikia 'ukomo' wake, lakini mwanaume akawa bado anadai, wadhani kuna nini tena hapo?
 
Back
Top Bottom