Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,434
Nilicho gundua ndoa nyingi zime kufa mda mrefu sana ila watu wana pretand kama bado wapo pamoja
Hii baada ya kuambiwa mwenyekiti wa jumia yetu na mkewe wamegawana vyumba lakn kwa watu wanaonesha kuwa wapo pamoja na kanisani wana shirirki ekarist takatifu kabisa
Means ndoa nyingi sana zime baki kwasababu ya watoto tu lakini hali ni mbaya sana kwa wana ndoa guys usijaribu kuingia kwenye ndoa mapema watu wanakufa na sonona