ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,956
- 7,005
Mkuu, mimi nimependa hapo mwisho, naomba kunukuu...
"Nipo njia panda, nampenda sana, ila anachokifanya ni pristitution, MLIKUWA MNASEMAJE"?
Kwani umesikia JF wamesema kitu?
Kifupi, ukioa barmaid, mhudumu guest, waitress ni sawa na kuwa na RB ya murder Polisi. Ipo siku utalia tu.
Mtu analipwa 70,000/- lkn maisha yake ni ya 700,000/- kwa mwezi