moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
kaa nae akupe magonjwa
fimboyaasali jamaa alishakaa nae wakayaongea na mke akaja juu hataki aingiliwe maishaKa
Bro,umekosea sana kumpiga na kumshambulia hivyo,jambo la busara ambalo ungelifanya ni kuongea naye yeye mwenyewe mkeo ili kutafuta ufumbuzi wa jambo hili,sio busara hata kidogo mambo yenu kuyaweka hadharani
Yani ndio umeona hilo ndio la kumshauri!!?kwa mafano mimi ningekuwa wewe ningemwacha aendelee huku nafaidi pesa zake ........... ilakakwambia ukweli anauza nyapu na hawez kuacha kuuza
si kila mtu anashauri la moyoni jamaniYani ndio umeona hilo ndio la kumshauri!!?
Hahahha marioo wanapendaga kwani mabinti wanaoonekana kawaida basi??heshima iende kwao wanaoishi kwa urefu wa kamba zao roho nyeupeeWadau nilitetemeka mwili kwa conversation ile, ndipo nikapata majibu, kwanini nilimkuta wife ana maisha mazuri kwa kazi hiyo ya uhudumu wa hotel, maana, nimemkuta ana gari na vitega uchumi vingi anavyoletwa hesabu kila mwisho wa wiki n kumuoa bila kujua kmapato haramu ukimuona kwa mara ya kwanza unaweza kudhani anafanya kazi benki kuu ama revenue authorities.
kila nikijitahidi kuielewa hii paragraph nashindwa labda kwa walioielewa naomba ufafanuzi ili nichangie mawazo yangu.
Achana na huyo kahaba muuza papuchi,Wapendwa hamjambo?
Mke wangu ni mhudumu wa hotel katika hotel ya kitalii, huwa anahamishwa kulingana na shift, siku nyingine kwenye mgahawa wa hotel hiyo na siku nyingine anakua kwenye vyumba.
Mimi ni mtu wa IT, ndoa yetu ina miaka miwili sasa na mtoto mmoja tuna mgogoro ambao umejitokeza wiki ya tatu sasa simu ya wife ilipata tatizo kama vile ikawa imepoteza memory, vitu visivyoeleweka vinajitokeza kwenye screen, akanipa niangalie shida nini, nikairekebisha ikawa imepona, ilikua na virus wengi, baadae nikaanza kuangalia ma file mbali mbali ikiwemo sms na whatsaap kuona kama vitu vimepotea au la, kwenye whatsaap nikakutana na conversation very interesting kati ya wife na anaeonekana kuwa msichana mpya kazini kwao.
Katika conversation hiyo, wife anamweleza yule binti kuwa asiogope kulala na wateja maana ndio mbinu pekee ya kupata pesa mbali na mshahara, nanukuu, '' mimi leo nisingekua na maisha haya kama sio deal hizo, nimewajengea wazazi nyumba, nimesomesha wadogo zangu na nina miradi kibao, wazungu na wageni wengine wapo tayari kutoa dola hamsini hadi Mia just for a short time, hakikisha always unatumia condom, kwa miaka sita niliyofanya hapo hotelini nimetembea na wageni wengi, kwa mwezi naweza kulala na 17 hadi 25 na wengi ni wazungu, wengine wanataka kunyonywa tu hadi wamalize anakupa dola zako Mia, sasa wewe unachoogopa ni nini? Cha msingi usikubali kulala na mgeni yoyote bila kinga, Mimi hata Jana usiku nimelala na mgeni na kanipa laki moja ya kitanzania.Huwezi kuendelea kimaisha kwa mshahara wa 180,000
Usijali nitakuelekeza zaidi cha kufanya''. Mwisho wa kunukuu
Wadau nilitetemeka mwili kwa conversation ile, ndipo nikapata majibu, kwanini nilimkuta wife ana maisha mazuri kwa kazi hiyo ya uhudumu wa hotel, maana, nimemkuta ana gari na vitega uchumi vingi anavyoletwa hesabu kila mwisho wa wiki na hali hiyo nzuri ndiyo ilinivutia kumuoa bila kujua kumbe ni mapato haramu ukimuona kwa mara ya kwanza unaweza kudhani anafanya kazi benki kuu ama revenue authorities.
Nikamuita nikamuonesha zile SMS, ukatokea ugomvi mkubwa sana kwamba kwanini namchunguza, nikawa nimekatalia ile simu kwa ushahidi, baada ya wiki nzima ya ugomvi huku nikiwa na hiyo simu, nikampiga vibaya sana, akakimbilia kwao, wiki ya pili shangazi yake akaniita, nikawakuta wawili, nilishangaa sana kusikia shangazi mtu anadai maisha hayana formula, kwamba kutafuta ni kutafuta tu, akaniambia eti mbona kuna watu ni majambazi na hela zao zinapokelewa na wake zao, akawa anamtetea, maana mimi msimamo wangu nikawaambia, nipo tayari kusamehe kwa maslahi mapana ya mtoto kama anakubali kuacha kazi hiyo ya hotel, anitegemee mimi, nikaondoka, kwamba wakiwa tayari wanipigie simu wanijibu.
Weekend iliyoisha wife akanipgia simu kwamba niache ufunguo anakuja kubeba vitu vyake, nikamuuliza kwa hiyo umechagua kazi kuliko ndoa? Akasema kuacha kazi hawezi ila kuacha hayo matendo anaweza kama nitakubali.
Nipo njia panda, nampenda sana, ila anachokifanya ni prostitution, mlikuwa mnasemaje?
Ok,nimekusomasi kila mtu anashauri la moyoni jamani
Kwani kakulazimisha umwamini? Acha kuwa na mawazo hasi wewe. Mwanaume mwenzetu kaelezea yanayomkuta we unaanza kuleta ligi!Yani ni kweli mtu aandike details zote hizi kwenye chating??.
Na kutoa hadi takwimu na idadi ya wanaume aliotembea nao?? Plus alichofanya na kulipwa jana usiku??
SOMETHING IS NOT RIGHT HERE, NACHELEA KUSEMA KUWA SIJAMINI KILICHO ANDIKWA, Ila neno langu sio sheria.
Wapendwa hamjambo?