Duuh! Pole sana mzee,
Kwa mtizamo wangu hapo kusema kweli mke huna,hana tofauti yoyote na malaya mzoefu,hzo ishu kaanza muda mrefu lakin pamoja na kuolewa ye aliona haina shida kuendelea nayo na sio kwamba anafanya na mtu mmoja, kwa maelezo yake ameshalala na wageni 17-25 kwa mwezi kwa miaka 6 hao nikaribia watu 1000, atleast 😱..
Sometimes katika maisha lazima uwe tayari kufanya maamuzi magumu ambayo ni necessary kwa faida yako mwenyewe wakati ndo huu, hata kama unampenda huyo SIO wife material,alafu mbaya zaidi hana regret yoyote na badala ya kuomba msamaha wakati anajua amekukosea sana analeta ugomvi,yeye na auntie yake hawana tofauti wote ndo wale wale tu,na lazima ujiulize kwanini hataki kuacha kazi hapo wakati hata mshahara wenyewe anaolipwa hapo haueleweki,hyo kashazoea na anapenda sana huo mchezo wake, kama anavitega uchumi vingi sasa kwanini aendelee na hyo kazi?
We nenda kwa familia yake waambie binti yao kashachagua maisha yake,in other words kachagua kufanya umalaya instead of kukaa na wewe,achana nae, tafuta Wife Material anaekupenda muoe atakusaidia na mwanao!
Ni hayo tu..