hazinadaima
Member
- Aug 1, 2016
- 62
- 17
HILO JIPU KIMBIA MAPEMA HALINA ULODA
na hapo mume anatakiwa angeacha tu kumkamua...na yeye anatafuta kidosho chake cha kukamua...Nyumba inakuwa sehemu ya kupiga stori tukwa mafano mimi ningekuwa wewe ningemwacha aendelee huku nafaidi pesa zake ........... ilakakwambia ukweli anauza nyapu na hawez kuacha kuuza
ndiyo hivyo nyumba kiwe kijiwe walee watoto wao kiselana hapo mume anatakiwa angeacha tu kumkamua...na yeye anatafuta kidosho chake cha kukamua...Nyumba inakuwa sehemu ya kupiga stori tu
umeona eeeh...tatizo watu wanachukulia vitu toooo serious.....this life is too short....kama ameamua kuishi maisha hayo anamruhusu then naye anatafuta mkali mwingine life goes on...wanaendelea kukaa tu nyumba mojandiyo hivyo nyumba kiwe kijiwe walee watoto wao kisela
mtu anaweza kuona umeandika kitu cha ajabu but trust me nimekuelewa vzr kabisa,,,coz am doing exactly the same and am comfortable,,verykwa mafano mimi ningekuwa wewe ningemwacha aendelee huku nafaidi pesa zake ........... ilakakwambia ukweli anauza nyapu na hawez kuacha kuuza
ndiyo hivyo maisha hayana fomulamtu anaweza kuona umeandika kitu cha ajabu but trust me nimekuelewa vzr kabisa,,,coz am doing exactly the same and am comfortable,,very
hahaha know i know that for surendiyo hivyo maisha hayana fomula
Weekend iliyoisha wife akanipgia simu kwamba niache ufunguo anakuja kubeba vitu vyake, nikamuuliza kwa hiyo umechagua kazi kuliko ndoa? Akasema kuacha kazi hawezi ila kuacha hayo matendo anaweza kama nitakubali.
Nipo njia panda, nampenda sana, ila anachokifanya ni prostitution, mlikuwa mnasemaje?