Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Sasa merengo unashangaa huyo kaandika tu sms. Vipi yule aliyepigwa picha za utupu na bado akathubutu kwenda kwenye media na kukiri kuwa zile picha ni zake kweli ila zimepigwa zamani!!!
Kuna watu wana mioyo migumu na sura ya mbuzi.
Alikuwa anatangaza brand
 
!
!
Fungua hotel yako ya kitalii kisha mwajiri awe mfanyakazi wako. Uzoefu huo unaweza kuwanufaisha mno mkatoboa.
 
Fanya mamzi magum %99 inaonyesha condom mwanaume utumia kwa kipindi cha kwanza tu ila wakishakuwa na mausiano yanayo zidi wiki moja swala la condom sahau. Kama utamua kujitoa mwanga kama wanachama wa Boko haram endelea kuishi nae
 
Duh angalau wewe umepangilia vizur story yako....
Ila kama ingekua kweli ungeangalia tu kama unamoyo wa kijambazi unaweza endelea naye..
 
Comments 293 na Mwinjilist luka hajarudi kujibu wala kutoa mrejesho😵😵😵 au ni macho yangu.
 
Yaan aache kazi au asiache bado tabia hawezi ibadili na keshazoea.
 
Mkuu umeshawahi kusafiri kwa shughuli zako? Kama ndio iwe ndani au nje ya nchi. Je umewahi lala kwenye nyumba za kulala wageni. Iwe lodge guest house au hotel ama hata rest house. Je umewahi hudumiwa na mhudumu Wa jinsia ya kike?! Uliwahi vutiwa na Huyo au hao wahudumu? Je uliwahi kumtongoza au kuwatongoza?! Je umewahi pia kugegedua? Nje ya ndoa yako.?! Kama jibu ni ndio.. Basi kama kile walichokufanyia wale wahudumu uwapo safari na ukatoa tip,au ahsante.. Ndicho anachokifanya mkeo.. Coz wale pia ama ni wake za watu au wachumba za watu, wana shida na maisha na wewe ulikuwa ni mpitaji tu, ulipomaliza shida zako ukaondoka maisha kwao yanaendelea. Kama vile hukuwa kuwepo popote katika maisha yao. Huko Kwenye mahotel wanakutana na changamoto said ya hizo.. Wako wanaosafisha vinyesi vilivyotolewa hovyo na nk.! Bahati mbaya ni kuwa wewe umepata shahidi.. Kwa mkeo.! Fikiri Mara mbili kabla hujamuacha je,anayo mazuri yoyote katika maisha yenu? je yana % ngapi. Ukifananisha na uovu huo..! Mwisho je wewe ni msafi kiasi gani,? Umefanya mangapi ambayo hajayagundua?! Je moyo wako utakuwa radhi kushiriki Kwenye harusi yake,coz bila shaka ukimuacha ataolewa... Think twice...mapenzi ni sacrifice..ukipenda kilicho sahihi hupendi ila unahitaji..... Nguvu ya msamaha ndio tafsiri halisi ya kupenda na utaibuka shujaa. Katika maisha yako yote. Be a hero to ua wife. Uzuri wake sio Wa kudumu kama uanaume wako... !!atakuheshimu sana baada ya kulishinda jaribu hili.. Ukianguka ua nothing... Huwezi kuwa na historian kwake.
 
nimeshangaa pia msg ndefu sana
Yani ni kweli mtu aandike details zote hizi kwenye chating??.

Na kutoa hadi takwimu na idadi ya wanaume aliotembea nao?? Plus alichofanya na kulipwa jana usiku??


SOMETHING IS NOT RIGHT HERE, NACHELEA KUSEMA KUWA SIJAMINI KILICHO ANDIKWA, Ila neno langu sio sheria.
 
Wapendwa hamjambo?

Mke wangu ni mhudumu wa hotel katika hotel ya kitalii, huwa anahamishwa kulingana na shift, siku nyingine kwenye mgahawa wa hotel hiyo na siku nyingine anakua kwenye vyumba.

Mimi ni mtu wa IT, ndoa yetu ina miaka miwili sasa na mtoto mmoja tuna mgogoro ambao umejitokeza wiki ya tatu sasa simu ya wife ilipata tatizo kama vile ikawa imepoteza memory, vitu visivyoeleweka vinajitokeza kwenye screen, akanipa niangalie shida nini, nikairekebisha ikawa imepona, ilikua na virus wengi, baadae nikaanza kuangalia ma file mbali mbali ikiwemo sms na whatsaap kuona kama vitu vimepotea au la, kwenye whatsaap nikakutana na conversation very interesting kati ya wife na anaeonekana kuwa msichana mpya kazini kwao.

Katika conversation hiyo, wife anamweleza yule binti kuwa asiogope kulala na wateja maana ndio mbinu pekee ya kupata pesa mbali na mshahara, nanukuu, '' mimi leo nisingekua na maisha haya kama sio deal hizo, nimewajengea wazazi nyumba, nimesomesha wadogo zangu na nina miradi kibao, wazungu na wageni wengine wapo tayari kutoa dola hamsini hadi Mia just for a short time, hakikisha always unatumia condom, kwa miaka sita niliyofanya hapo hotelini nimetembea na wageni wengi, kwa mwezi naweza kulala na 17 hadi 25 na wengi ni wazungu, wengine wanataka kunyonywa tu hadi wamalize anakupa dola zako Mia, sasa wewe unachoogopa ni nini? Cha msingi usikubali kulala na mgeni yoyote bila kinga, Mimi hata Jana usiku nimelala na mgeni na kanipa laki moja ya kitanzania.Huwezi kuendelea kimaisha kwa mshahara wa 180,000
Usijali nitakuelekeza zaidi cha kufanya''. Mwisho wa kunukuu

Wadau nilitetemeka mwili kwa conversation ile, ndipo nikapata majibu, kwanini nilimkuta wife ana maisha mazuri kwa kazi hiyo ya uhudumu wa hotel, maana, nimemkuta ana gari na vitega uchumi vingi anavyoletwa hesabu kila mwisho wa wiki na hali hiyo nzuri ndiyo ilinivutia kumuoa bila kujua kumbe ni mapato haramu ukimuona kwa mara ya kwanza unaweza kudhani anafanya kazi benki kuu ama revenue authorities.

Nikamuita nikamuonesha zile SMS, ukatokea ugomvi mkubwa sana kwamba kwanini namchunguza, nikawa nimekatalia ile simu kwa ushahidi, baada ya wiki nzima ya ugomvi huku nikiwa na hiyo simu, nikampiga vibaya sana, akakimbilia kwao, wiki ya pili shangazi yake akaniita, nikawakuta wawili, nilishangaa sana kusikia shangazi mtu anadai maisha hayana formula, kwamba kutafuta ni kutafuta tu, akaniambia eti mbona kuna watu ni majambazi na hela zao zinapokelewa na wake zao, akawa anamtetea, maana mimi msimamo wangu nikawaambia, nipo tayari kusamehe kwa maslahi mapana ya mtoto kama anakubali kuacha kazi hiyo ya hotel, anitegemee mimi, nikaondoka, kwamba wakiwa tayari wanipigie simu wanijibu.

Weekend iliyoisha wife akanipgia simu kwamba niache ufunguo anakuja kubeba vitu vyake, nikamuuliza kwa hiyo umechagua kazi kuliko ndoa? Akasema kuacha kazi hawezi ila kuacha hayo matendo anaweza kama nitakubali.

Nipo njia panda, nampenda sana, ila anachokifanya ni prostitution, mlikuwa mnasemaje?
kuendelea nae ni kutaka kwa dhati kumalizia maisha yako gerezani,suala la mtoto kuishi ataishi tu tena vizuri,nikukumbushe kitu kimoja,hawa watoto zetu hawaishi kwa nguvu zetu mkuu,kila kiumbe umwonae anaishi kwa nguvu na mwongozo wa aliye juu MUNGU MKUU,ndio maana mayatima huwa wanaishi mwisho wanakuja kuwa watu wenye hadhi mbele ya watu,sababu ni MUNGU!
 
Back
Top Bottom