MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,467
nimengudua kwamba yeyote anayesoma post yangu hapa nitakuja kumuoa!
nimegundua unataka kuolewa
nimengudua kwamba yeyote anayesoma post yangu hapa nitakuja kumuoa!
haa haa haaa nimegundua unapenda hela na utakuja unifilisi
vp we ni mzima kweli ama ndo dharau
Nimegundua....nimegundua....mmmh sisemi namuogopa utafiti
nimegundua kuwa umepatwa najaziba ila sina cha kukusaidia labda ugundue na wewe ugunduzi wa kiutu uzima kabla akili yako na wewe haijaisha. Asante kwa ugunduzi
Sikiweki pembeni, Nimegundua kitaibiwa.pole ila nimegundua dawa kitoe kiweke pemben