Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
Viatu vya mitumba vimekua vingi sana,maduka yanapigwa doro.Nimegundua biashara ni ngumu badala mangi awe bize dukani ye yupo JF
Viatu vya mitumba vimekua vingi sana,maduka yanapigwa doro.Nimegundua biashara ni ngumu badala mangi awe bize dukani ye yupo JF
mapema sahivi....
Hamna ameshakula mtaji tyariLabda amefunga tayari
Nimegundua Mr. Mangi unatafuta njia ya kumtongoza miss chagga
nimegundua kuwa hujagundua kuwa unajiabisha kwa ugunduzi wa kitoto.
Nimegundua huna jipya mbele ya umma.
nakugundulisha ukiishiwa cha kusema n vema ukafunga bakul
nakugundulsha akil yako imeisha.

teh teh teh nimegundua nikimpata huyo manka atanisaidia sana ktk shughul zangu za duka ebu niunganishie lakini mwambie hela ya matumiz atatafuta mwenyewe yangu nataka kujengea
nimengudua kwamba yeyote anayesoma post yangu hapa nitakuja kumuoa!