Mr. Mangi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,512
- 771
Nimegundua siku jogoo akigundua kutumia kondom yai litabakia historia,
Nimegundua madem wengi wanapenda sana kupewa zawad hata kama ni za bei ndogo,
Nimegundua ni vigumu mwanaume kudanganya hana nguvu za kiume,
Nimegundua ukiileta mada yako hapa jamvini hautaiona tena pindi utakaposahau kichwa cha mada,
Nimegundua Jf ina wanaume wengi kuliko wanawake,
Nimegundua hapa Jf umaarufu utaupata kwa akili zako na sio kupost picha chafu kama Fb,
Nimegundua mimi ni mgunduzi wa leo, vipi
na wewe umegundua nini?