Afro Super Bags
Member
- Apr 5, 2023
- 50
- 108
Mimi ni mfanyabiashara mdogo, natengeneza vikapu vya ain mbalimbali.
Kwa siku nyingi sikuweza kuwa na account ya bank kutokana na gharama kubwa za kufungua account, hivyo pesa yangu niliitunza kwenye line ya simu.
Juzi kati nikiwa kwenye biashara yangu nilitembelewa na watumishi wa CRDB BANK wakaniambia kufungua account ni bure ila nine na 10,000 ya card ya ATM 🏧.
Nikawapa namba yangu ya nida na baada ya muda si mrefu nikapokea ujumbe kwenye simu yangu kwamba account yangu iko tayari.
Ila baada ya hapo, kila ninayemweleza nina account ya CRDB BANK ananionea huruma, na pia nimesoma hapa JamiiForums na sehemu mbalimbali watu wakilalamikia makato/ upotevu wa pesa kwenye account zao.
Mbaya zaidi CRDB BANK 🏦 wako kimya kama hawaoni kinachoendelea, na wala hata hawatoi elimu kwa wateja wao ili kuondoa ama kupunguza malalamiko.
Hali hii imenifanya niwe na ubaridi moyoni mwangu katika kuiendeleza hiyo account.
Naogopa kabisa kuitumia na kuweka akiba maana hela inauma aisee, kuliko mapenzi