nimefumania

Follow your heart. maana umeshasema huwezi ishi bila yeye so chukua hatua ya kusamehe naamini hata yeye atakuwa amejifunza kitu na kama kuna mahali ulikuwa humtendei haki akatoka rekebisha. Mungu atawasimamia maana mara zote anapenda mapatano. Kusamehe hakuna ukomo na haijalishi aina ya kosa. Mrudishe mkeo na maisha yatakuwa mazuri
 
Forgive your wife andd God will bless your life. Hakuna mwanadamu asiyetenda kosa na la msingi angalia wapi ulikuwa humtendei haki rekebisha na kubwa sana umridhishe mkeo.
 

Mke wa ndoa au mke wa kisingizio?
 
kwanza nikupe pole kwa mkasa uliokupata...Jitahidi kufanya maamuzi kutokana na nafsi yako.Unatakiwa kufikiria mara mbilimbili kabla ya kufanya maamuzi yoyote,Mshirikishe Mungu pia
 
Maamuzi unayo mwenyewe hakuna mtu atakayekusaidia wewe ndiye unayejua ni kiasi gani unamhitaji lakini chunguza ni nini kimekufanya akusaliti wengine huwa busy na mambo yetu na kusahau kuwa mke anahitaji zaidi ya pesa za matumizi ukishajichunguza itakuwa rahisi kutoa maamuzi
 
fanya kile ambacho moyo unakwambia ufanye maana ukienda against nao hutokuwa na amani
 

katika kiapo chake kwa mkewe, jamaa hakuweka conditions kama ata cheat au la. so mimi naona asimamie kiapo chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…